Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Hapo bubada ndio mgodi wa barrick - bulyanhuluShinyanga Kuna Migodi na Kilimanjaro Hai Kuna Mgodi wa Tanzanite.
Ila hii mada sio ya kuchangia kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo bubada ndio mgodi wa barrick - bulyanhuluShinyanga Kuna Migodi na Kilimanjaro Hai Kuna Mgodi wa Tanzanite.
Bubada ndio mgodi wa barrick - bulyanhuluAlaf huko shinyanga inatua karibu na mgodi fulan mkubwa
Atakuwa mupenzi wa hangaya anakula mabata tu mujiniHii ndege ya rais iliyonunuliwa kwa bei ya $40,000,000 kwa nini haikutumika kumpeleka rais Belgium/France na nchi nyingine za magharibi na badala yake inazurura tu mikoani pasipo kuwa na ratiba maalamu.
Sisi walipa kodi tuna haki ya kujua ndege iliyonunuliwa kwa hela zetu kwa nini inazurura kila mahali wakati rais anapanda Air Tanzania au Emirates.
Na kama kuna mtu fulani anaitumia basi tupaswe kumjua, maana isije kuwa inatumika kufanyia biashara za magendo, ama kutumiwa na baadhi ya watu kufanya starehe/ufuska au ndio imekwisha kabidhiwa ramsi kwa Raisi wa Zanzibar kama ndege yake binafsi maana haiwezekani ukiangalia kwenye Flight past history unapata taarifa za ndege hiyo kuzurula sana Kilimanjaro na mikoa mingine ila inarudi kulala zanzibar
Mwenye ufahamu tunaomba atujuze, Nawasilisha.
Hapa chini ni tracking past flight history ya ndege ya Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
View attachment 2128144
hahahahNdege ni kama yalivyo magari, Kuna namba maalum za kutambua. Na zpo wazi
Ila hii mada sichangii, nina Watoto wadogo
HahahhahahahMpaka mmeanza kutrack na nyendo za ndege ya Rais wa JMT? Hii nchi sasa imekuwa ngumu kuliko ugumu wenyewe!
Una hangaika Mzee hadi sio vizuri,kaikodi uwe unabebea dagaaHii ndege ya rais iliyonunuliwa kwa bei ya $40,000,000 kwa nini haikutumika kumpeleka rais Belgium/France na nchi nyingine za magharibi na badala yake inazurura tu mikoani pasipo kuwa na ratiba maalamu.
Sisi walipa kodi tuna haki ya kujua ndege iliyonunuliwa kwa hela zetu kwa nini inazurura kila mahali wakati rais anapanda Air Tanzania au Emirates.
Na kama kuna mtu fulani anaitumia basi tupaswe kumjua, maana isije kuwa inatumika kufanyia biashara za magendo, ama kutumiwa na baadhi ya watu kufanya starehe/ufuska au ndio imekwisha kabidhiwa ramsi kwa Raisi wa Zanzibar kama ndege yake binafsi maana haiwezekani ukiangalia kwenye Flight past history unapata taarifa za ndege hiyo kuzurula sana Kilimanjaro na mikoa mingine ila inarudi kulala zanzibar
Mwenye ufahamu tunaomba atujuze, Nawasilisha.
Hapa chini ni tracking past flight history ya ndege ya Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
View attachment 2128144
Idungue tuu mkuu 😄😄😄Asante sana kiongozi kwa kutrack ujambazi unaendelea kwa kutumia ndege ya rais, hizo sehemu zina madini ghafi kwahiyo hilo dege linatumika kuyavusha bila kibali na bila bughudha na kuyapeleka Zanzibar, watanzania tuamke kutoka usingizi wa pono.
Hapo hawezi kuiwekaSafari ndefu hivi karibuni ni kwenda na kurudi Ethopia chini ya Makamu wa Rais
Atakwambia kizazi kijacho kitakuja kuyachuma 😁😁..
Wewe unajua nini?,mlete mama yako tumlinganishe.
Mzee usikurupuke, vuta subira kwanza na ufanye utafiti wa kina kuhusu jambo ili kupata ushahidi usio na shaka kuhusu unachokizungumza.Hii ndege ya rais iliyonunuliwa kwa bei ya $40,000,000 kwa nini haikutumika kumpeleka rais Belgium/France na nchi nyingine za magharibi na badala yake inazurura tu mikoani pasipo kuwa na ratiba maalamu.
Sisi walipa kodi tuna haki ya kujua ndege iliyonunuliwa kwa hela zetu kwa nini inazurura kila mahali wakati rais anapanda Air Tanzania au Emirates.
Na kama kuna mtu fulani anaitumia basi tupaswe kumjua, maana isije kuwa inatumika kufanyia biashara za magendo, ama kutumiwa na baadhi ya watu kufanya starehe/ufuska au ndio imekwisha kabidhiwa ramsi kwa Raisi wa Zanzibar kama ndege yake binafsi maana haiwezekani ukiangalia kwenye Flight past history unapata taarifa za ndege hiyo kuzurula sana Kilimanjaro na mikoa mingine ila inarudi kulala zanzibar
Mwenye ufahamu tunaomba atujuze, Nawasilisha.
Hapa chini ni tracking past flight history ya ndege ya Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
View attachment 2128144
?Hapo hawezi kuiweka
Kama kuna watu wanatusaliti nchi hii ni WAANDISHI WA HABARI.Kuna vijihela vya wakubwa vinakusanywa...Tungekuwa na waandishi wa habari za uchunguzi na vyombo huru vya habari hii kitu ingefunuliwa kweupeee
🙄Hapo bubada ndio mgodi wa barrick - bulyanhulu
Ila hii mada sio ya kuchangia kabisa
Kwa kipindi kile ilikuwa 40 BillionsIlinunuliwa 40 million usd, kama kumbukumbu zangu zipo sawa kwa kipindi hicho 1 usd ilikuwa kama sh 700 - 1000
View attachment 2128275BBC NEWS | Africa | Tanzania's leader snubs new jet
news.bbc.co.uk
Kabudi tunayemjua siyo huyu kabisaaaaaaaaa🤣