Ni nani hasa huitumia ndege ya Rais wetu 5H- ONE Gulfstream G550 maana inaonekana ikizurula tu mikoani na kupaki Zanzibar?

Lakini hata Mwendazake hakuitumia aliona bora kuruka na airbus
 
Tarehe 12 saa 09:38am ilikuwa Klm/jro na saa 09:59am ikawa Zanzibar, je dakika 20 ndege yaweza kufika Zanzibar?
Nijuavyo kutoka Jro to Znz kwa airbus au dreamliner ni dkk 50 to 55 na pangaboi hadi dkk 60, je hizi taarifa zina ukweli?
Unaijua moja ya sifa za hiyo ndege?
 
Unajenga picha ya kwamba Madini yanatoroshwa kwa kupitia ndege binafsi ya Raisi? Na kusafirishwa nje kupitia zanzibar?
Sio ndege binafsi ni ya Rais amboyo tunaitunza sisi walipa kodi
 
Ukichunguza sana utaweza kukuta ndio ukweli wenyewe huo
Hivi kweli mzigo unaoagizwa China na mfanyabiashara mzanzibari, unapoletwa na Air Tanzania, anauchukilia Dar es salaam au Boeing yetu inaushusha kwanza Zanzibar ndipo Boeing ikamilishe safari kuelekea kwenye "Hub" yake .... Dar es salaam?🤔
 
Hivi kweli mzigo unaoagizwa China na mfanyabiashara mzanzibari, unapoletwa na Air Tanzania, anauchukilia Dar es salaam au Boeing yetu inaushusha kwanza Zanzibar ndipo Boeing ikamilishe safari kuelekea kwenye "Hub" yake .... Dar es salaam?🤔
Sasa hivi inashuka Zenji
 
Dah

Unakosea sana
 
 
Kama kuna watu wanatusaliti nchi hii ni WAANDISHI WA HABARI.

Mnawaonea bure. Kinachokutisha wewe napaka huwezi kujitoa muhanga ndicho hicho hicho kinawatisha na wao.

Kibaya zaidi hakuna muunganiko wala dhamira moja ya dhati kama taifa matokeo yake kila mmoja anapambania tumbo lake na wanaomuhusu.

We have no agenda as a people instead we go with whatever our Politicians dish out at us, completely misplaced but well controlled citizens.

Tumebaki kutupiana lawama tu Kama wendawazimu.
 
Wanasema 6550 ilikuwa mbovu, imeshaletwa G700 na usajili huo huo wa 5H-ONE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…