Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Lakini hata Mwendazake hakuitumia aliona bora kuruka na airbusNapata hasira sana kuona ndege hii ambayo ilinunuliwa huku sisi tukiambiwa tutakula nyasi ili Raisi awe anaipanda kwa shughuli zake za kiserikali.
Halafu mwisho wa siku tunaiona ikitumiwa kwa shughuli binafsi kwa faida ya watu wachache, inaumiza sana.