Ni kwasabb wenye akili hamtaki kujihusisha na siasaNchi inaongozwa na vilaza🙏🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwasabb wenye akili hamtaki kujihusisha na siasaNchi inaongozwa na vilaza🙏🙏
Ankoli 😂 upewe maua yako,Ibilisi ibnu sheitwan
AsanteAnkoli 😂 upewe maua yako,
RostamAsalam,
Maswali yameendelea kujirudia. Mengi yanasemwa na hata wakati fulani ya kujitukana wenyewe. Lakini hasa hasa NANI HASA MMILIKI wa Hili TAIFA LA TANZANIA? Nani hasa anaweza kusimama akasema kwa sauti nzito kuwa yeye ndio MMILIKI?
Naona wako watu wanazunguka humu nchini, wengine kwenye maofisi ya umma, wengine binafsi, wanasema wanatumikia TZ. Lakini ni TANZANIA YA NANI?
NANI HASA ANAMILIKI TAIFA LA TANZANI?
Na kama yuko anaemiliki, ni kwa kiasi gani anaujua umiliki huo ? Nani hasa?
Hahaha awapii hao wenyewe wanafata matakwa ya watu maalam..Wamiliki wapo pale makumbusho kwenye ule ukuta mkubwa sana mule ndani wana hospital yao kwa nyuma inaitwa Mzena... wengine wapo Lugalo, Monduli na DODOMA.
Alafu mwana una maswali ya KIMAMA sana!
It is hypothetically true, but in reality, the nation of Tanzania is currently owned by or in the hands of Msoga gang. This group coordinates all major corruption scandals, from Escrow, IPTL, EPA, Bagamoyo Port to DP World.Mmiliki wa Tanzania ni Mtanzania. Taifa la Tanzania ni mali ya Watanzania collectively.
P
That's a big plus to me. It's an honour.
Mungu anakuona tutafutie twende jela kwa kutulazimisha kujibu ili swali maana🤐🤐Asalam,
Maswali yameendelea kujirudia. Mengi yanasemwa na hata wakati fulani ya kujitukana wenyewe. Lakini hasa hasa NANI HASA MMILIKI wa Hili TAIFA LA TANZANIA? Nani hasa anaweza kusimama akasema kwa sauti nzito kuwa yeye ndio MMILIKI?
Naona wako watu wanazunguka humu nchini, wengine kwenye maofisi ya umma, wengine binafsi, wanasema wanatumikia TZ. Lakini ni TANZANIA YA NANI?
NANI HASA ANAMILIKI TAIFA LA TANZANI?
Na kama yuko anaemiliki, ni kwa kiasi gani anaujua umiliki huo ? Nani hasa?
I don't live in USA.Free? You are a Hollywood's pimp slave.
Tumia akiliMmiliki wa Tanzania ni Mtanzania. Taifa la Tanzania ni mali ya Watanzania collectively.
P
Britain wamekomaa na ufalme mpaka mwisho wa dunia na kwao huo sio udikteta??🤔Kiuchumi&kisiasa ni USA+Koloni la UK/England/british chini ya kivuli cha C+C+M, kiimani ni Vatican+Arab kingdoms chini ya vivuli vya Umoja wa makanisa+dini ya kiislam.
Kiufupi hii nchi inaongozwa na falme mbili tofauti ambazo zilizotutengenezea WaTZ fake Democratic leadership ya kupokezana uongozi wa urais every after 10years,
Ni ngumu kuchomoka kwa hawa mabwana mpaka hawa vibaraka wanaotuongoza wafe woote pamoja na vizazi vyao haramu au waamue kujitenga na huu mfumo wa hawa mabepari wetu.
Narudia ni ngumu kwa nchi zetu haswa Tz kuendelea bila kujitenga na mifumo hiyo waliyotuletwa hawa mnaowaabudu wazungu+waarabu.
Mfumo wa kiimani umeshikilia masuala ya kidini kuhakikisha watu wote wanakuwa chini ya ushawishi wa mifumo ya kidini na sheria za makanisa+misikiti na hakuna kuhoji.
Mfumo wa siasa ndio kama mnavyouona mmeaminishwa demokrasia ya kweli ni vyama vingi sijui na madudu gani ya kupokezana uongozi huku mkiutukana mfumo halali wa uongozi wa kifalme kwa kuita udicteta, mnachanganya kati ya ukatili na ufalme,
Mfumo wa kiuchumi ndio huo waliotupangia jinsi ya kuendesha maendeleo kwa mifumo yao ya kibenki, aina ya sarafu, thamani ya pesa, mizunguko mizima ya pesa.
Kiufupi Bado tupo Utumwani ijapokuwa hatujafungwa miili lkn tumefungwa akili.
Viongozi wetu wanayajua haya lkn hawataki kurekebika kwanini?
Kiuchumi&kisiasa ni USA+Koloni la UK/England/british chini ya kivuli cha C+C+M, kiimani ni Vatican+Arab kingdoms chini ya vivuli vya Umoja wa makanisa+dini ya kiislam.