Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamiliki ni Deep Dark State(roho za Mizimu na Watu wasiojulikana)Asalam,
Maswali yameendelea kujirudia. Mengi yanasemwa na hata wakati fulani ya kujitukana wenyewe. Lakini hasa hasa NANI HASA MMILIKI wa Hili TAIFA LA TANZANIA? Nani hasa anaweza kusimama akasema kwa sauti nzito kuwa yeye ndio MMILIKI?
Naona wako watu wanazunguka humu nchini, wengine kwenye maofisi ya umma, wengine binafsi, wanasema wanatumikia TZ. Lakini ni TANZANIA YA NANI?
NANI HASA ANAMILIKI TAIFA LA TANZANI?
Na kama yuko anaemiliki, ni kwa kiasi gani anaujua umiliki huo? Nani hasa?
Yaani kina Rostam![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wafanyabiashara wakubwa wanaoruhusiwa kukopa WB KWA kutumia HATIMILKI ya mipaka ya nchi ndio wamiliki wa TZ!!
Watanzania gani?Mmiliki wa Tanzania ni Mtanzania. Taifa la Tanzania ni mali ya Watanzania collectively.
P
Nime note kuna vitu vingine ni wivu tuu!.Watanzania gani?
1. Mzanzibari hahitaji kitambulisho cha ukaaji kumiliki ardhi bara ten kadri atakavyo
2. Mtanganyika haruhusiwi kupata ardhi Zanzibar iwe ya kupewa na wajomba ama ya kununua
3. Mzanzibari anaweza kuwa kiongozi Tanganyika bila mizengwe
4. Mtanganyika hawezi kuwa kiongozi kuanzia usheha,, udiwani, uwakilishi hata ubunge. Pia hawezi kwenda Zanzibar kugombea nafasi ya Uraisi
5. Ukinunua kitu Zanzibar ukasafirisha kwenda Tanganyika ukifika bandarini unalipishwa na TRA tena unajazishwa Fomu inayoeleza kwamba umeagiza mali kutoka nje ya nchi (foreign import)
6. Ukinunua kitu Tanganyika na kupeleka Zanzibar ukifika bandarini haukabiliwi na tozo za kigeni
7. Ukinunua gari gari aina ya 'ist' Zanzibar kwa shilingi mil 6 na kusafirisha kwenda Tanganyika, ikifika bandarini mpaka unafanikiwa kuikomboa utakuwa umegharamia jumla ya shilingi mil 16 kwanini? Halikadhalika TV, Friji, na vifaa vingine vya elekroniki
8. Mtanganyika hawezi kumiliki mashamba Zanzibar
9. Mzanzibari anaweza kumiliki mashamba makubwa yasiyokuwa na mwisho huko Tanganyika (mfano upo wazi huko Morogoro, Kilosa na Malinyi)
10 Kima cha chini cha mshahara Zanzibar ni shilingi 340,000
11. Kima cha chini cha mshahara Tanganyika ni 200,000+
12. Mbunge Zanzibar anachaguliwa na watu 800 hadi 3,500 tu
13. Mbunge Tanganyika anachaguliwa na watu kuanzia 16,000 hadi 450,000
14. Ng'ombe wa Zanzibar akifungwa na kamba kwenye mgomba ukamwacha hapo usiku kucha utamkuta asubuhi
15. Ng'ombe wa Tanganyika akifungwa kwenye mti kuchunga majani akakaa hapo usiku kucha humkuti asubuhi
16. Makutano ya barabara zote za Zanzibari zimefungwa Kamera
17. Makutano ya barabara za Dar Es Salaam tu hakuna Kamera hata moja wakati ndio kuna wezi, waharifu na ajali nyingi sana zinatokea hapo ila unachokiona ni magari aina ya land rover 109 yenye rangi nyekundu yameegeshwa pembeni kusubiria ajali itokee wajipatie kipato.
nk orodha ni ndefu sana
Sio kweliMmiliki wa Tanzania ni Mtanzania. Taifa la Tanzania ni mali ya Watanzania collectively.
P