Ni nani huyu Oumilkheir wa DW!!?

Napenda ile sauti yake ya base. Tujuzane,alishaolewa au bado? Nataka ani bemende ha ha ha!
 
Inapokuja ktk matamshi mara nyingi hushindwa kutamka maneno yanayoanza na "vya" kama vile vyama yeye atasema vama, vyema atasema vema, vyombo atasema vombo etc. Kwa hakika ni mtangazaji mzuri ambaye mtu huwezi kuchoka kumsilikiza.
 
Namkubali sana huyu mama na ninaposiki report yoyote akisoma yeye bac huacha kila kitu ili nimckie vema kama yeye mwemnyewe anavyoitamka,Tangu enzi ya band moja radio ya mkulima niko kwenye kahawa nimeivaa shingoni,DW saba mchana,mama ni mahiri sana
 
Huyu mama nimzaliwa wa ngazija, kama unaswali lingine uliza.
 
Nilikuwa najua kwanza ni Mzungu tena mwanaume, na kile kibesi chake
 
Ama kweli ukiona aibu kuuliza Utapotea Njia Ama utabaki na ujinga wako,hata mie nilikuwa gizani huku nikiendelea kumpenda kupitia sauti bila kujua muhusika.Asanteni Wana Jf kwa kunitoa gizani.
 
Habari wana jf, mi naomba kujuzwa historia, elimu, uraia wa mtangazaji huyo wa siku nyingi dochovel German, huwa ana nivutia sana sauti yake na nimeanza kumsikia siku nyingi sana akitangaza tangu niko primary 88th early hadi sana, ahsanteni.
 
Habari wana jf, mi naomba kujuzwa historia, elimu, uraia wa mtangazaji huyo wa siku nyingi dochovel German, huwa ana nivutia sana sauti yake na nimeanza kumsikia siku nyingi sana akitangaza tangu niko primary 88th early hadi sana, ahsanteni.
uzi unamuhusu huyo bibi upo humu kitambo utafute
 
Huyu mtangazaji ni shida, me mwenyewe natamanigi kumfahamu anastahili fulani hiv ya kutangaza inayovutia sana kumsikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…