Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa a/c ya DW ya majuzi umy hery ni Mkomoro
Mimi huyu mama nilijua mzungu anaekifahamu vema kiswahili yaani nimefulai kumjua ,
Huyu mama nimzaliwa wa ngazija, kama unaswali lingine uliza.
Napenda ile sauti yake ya base. Tujuzane,alishaolewa au bado? Nataka ani bemende ha ha ha!
Ngazija kiswahili siyo maarufu. Labda amekulia Zanzibar.
uzi unamuhusu huyo bibi upo humu kitambo utafuteHabari wana jf, mi naomba kujuzwa historia, elimu, uraia wa mtangazaji huyo wa siku nyingi dochovel German, huwa ana nivutia sana sauti yake na nimeanza kumsikia siku nyingi sana akitangaza tangu niko primary 88th early hadi sana, ahsanteni.
uzi unamuhusu huyo bibi upo humu kitambo utafute