Ni nani huyu Oumilkheir wa DW!!?

Ni nani huyu Oumilkheir wa DW!!?

yeye hupendelea kuiita Lebnaan...

Kiongozi huyu yasemekana alizaliwa Masri ni Yaasir Alafaat, nayo Marikani msharika mkuu wa Israiri yamchukulia kiongozi huyu kama Gaidi na ni kikwazo cha amani ya mashariki ya kati.

My take: Kweli haya ni magaidi kiongozi wa nchi hata ulipozaliwa bado ni utata? Yasemekana?
 
Huwa akisoma udondozi wa magazeti ya ujerumani huburudisha sana.
 
Anatisha huyu bi mkubwa nashangaa watangazaj wetu wa kibongo wanajifamya wanachanganya ngeli na kiswahili et kisa wamesomea english medium wakat wakina zuhra yunus wa bbc wamekaa miaka zaid ya 20 london na kiswahili chao kimenyooka kama cha tanga

kuna mdada ni ripota anaitwa Hamida Issa toka Burundi yaani sauti yake inaelekea kuwa kama ya huyu bimdanga
 
Huwa akisoma udondozi wa magazeti ya ujerumani huburudisha sana.

naye mhariri wa gazeti la Frankurt algamain tsaitung anasema kuwa "MAPENZI PESA, UFUNDI PELEKA VETA"

Ile hali mhariri wa Baarin Tsaitung yeye ametanabaisha umma kwa kichwa kikubwa cha habari kinachosomeka "FANYA HIMA NIKUPE ANACHOKUNYIMA"

Na huo ndio mwisho wa udondozi wa Magazeti kutoka hapa Ujerumani mjini Booooooonna
 
Gang Chomba ni balaa.. hahahah

Gang chomba!duh huu udondozi wa lini huu ndg yangu?
 
naye mhariri wa gazeti la Frankurt algamain tsaitung anasema kuwa "MAPENZI PESA, UFUNDI PELEKA VETA"

Ile hali mhariri wa Baarin Tsaitung yeye ametanabaisha umma kwa kichwa kikubwa cha habari kinachosomeka "FANYA HIMA NIKUPE ANACHOKUNYIMA"

Na huo ndio mwisho wa udondozi wa Magazeti kutoka hapa Ujerumani mjini Booooooonna

Komred upo..huishi vituko..
 
umriheri ni mweusi toka Mombasa Kenya na sekioni kitojo ni mbongo alitokea radio Tanzania katikati ya miaka ya tisini enzi za kusikiliza redio kwa mwenyekiti Wa kijiji,kamanda Wa sungusungu au kwa mwalim mkuu

s.kitojo kwao tanga, mi nimesoma na ndugu /mdogo wake
 
Anatisha huyu bi mkubwa nashangaa watangazaj wetu wa kibongo wanajifamya wanachanganya ngeli na kiswahili et kisa wamesomea english medium wakat wakina zuhra yunus wa bbc wamekaa miaka zaid ya 20 london na kiswahili chao kimenyooka kama cha tanga

nawapenda sana hawa wanamama, Umulkheir na Zuhra Yunus.
 
Tafadhari mkuu fanya kuongeza nyingine wikiend ya leo iwe ya burudani na furaha
naye mhariri wa gazeti la Frankurt algamain tsaitung anasema kuwa "MAPENZI PESA, UFUNDI PELEKA VETA"

Ile hali mhariri wa Baarin Tsaitung yeye ametanabaisha umma kwa kichwa kikubwa cha habari kinachosomeka "FANYA HIMA NIKUPE ANACHOKUNYIMA"

Na huo ndio mwisho wa udondozi wa Magazeti kutoka hapa Ujerumani mjini Booooooonna
 
naye mhariri wa gazeti la Frankurt algamain tsaitung anasema kuwa "MAPENZI PESA, UFUNDI PELEKA VETA"

Ile hali mhariri wa Baarin Tsaitung yeye ametanabaisha umma kwa kichwa kikubwa cha habari kinachosomeka "FANYA HIMA NIKUPE ANACHOKUNYIMA"

Na huo ndio mwisho wa udondozi wa Magazeti kutoka hapa Ujerumani mjini Booooooonna

Duh nimecheka aisee
 
Back
Top Bottom