Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Mkwe huyu kama bwana Mohamed, jamaa ana wake wawili mmoja vinasaba na mama na mwingine yule binti Msuya wa sportpesaTanzania imelaaniwa, hapo amevaa kofia yenye picha ya Rais na kuonyesha anamkubali kumbe kafuata pesa
Huyo ni Katibu binafsi wa Rais haihusiki kumpangia Safari.Ampunguzie mamii safari nyingi za nje ampe safari zandani zinazojali kukagua kilimo,mifugo,elimu,afya,umeme nk. Siyo uzinduzi na misiba tuu.
AnahusikaHuyo ni Katibu binafsi wa Rais haihusiki kumpangia Safari.
Ni WA Bara ama wa pwani?? Lkn kwa kumtizama ni mtu asiekuwa na wenge, hana makeke. Ana hekma. Kuna siku nilimwona anamwambia mama abebe katoto hospital kule umbuluni, nikadhihirisha utu wakeHuyo ni Katibu binafsi wa Rais haihusiki kumpangia Safari.
Dah! Yeye anahusika na yapi Mh.Huyo ni Katibu binafsi wa Rais haihusiki kumpangia Safari.