Ni nani kati ya hawa wanne anadanganya?

Ni nani kati ya hawa wanne anadanganya?

Maria alitoka.. tairi ya gari upande wa kushoto nyuma..umbo la kipande Cha barafu ni tofauti na picha nyingine..manaake tairi iliopita hapo
 
Kulitokea Wizi wakati wa Majira ya Barafu, ila kila.
Mmoja alisema hakutoka Nyumbani siku ya tukio.
Ukiangalia picha hii kuna mmoja anadanganya.
Unadhani ni nani huyo anaedanganya kati ya hawa wanne?

View attachment 3005613
Alex ndio anadanganya. Mlangoni kwake na kwenye gari chini hakuna barafu.
Ben na Maria hawakutoka kuna snow milangoni kwao.
Rick hakutoka kuna snow imezunguka gari.
 
Back
Top Bottom