Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
AiseeSababu ni kuwa kama riki asingetoka basi barafu lisingeweza kuwepo pale chini ya gari yake..
Maana gari imefanya obstacle kwa barafu kushuka chini..
Ila kwa kuwa riki alitoka hivo barafu ika occur.
You might be working as investigative officer πRick alitoka,barafu limetanda hadi uvunguni mwagari maana yake lilijaa wakati gari imetoka!!
Au umeonaje hapo mkuuAisee
Hiyo mbona majibu badoMkuu lete nyingine tuchangamshe ubongo
BravoRick alitoka,barafu limetanda hadi uvunguni mwagari maana yake lilijaa wakati gari imetoka!!
ππ bila bila
Usome comment mkuu 1 by 1Hiyo mbona majibu bado
Alex ndio anadanganya. Mlangoni kwake na kwenye gari chini hakuna barafu.Kulitokea Wizi wakati wa Majira ya Barafu, ila kila.
Mmoja alisema hakutoka Nyumbani siku ya tukio.
Ukiangalia picha hii kuna mmoja anadanganya.
Unadhani ni nani huyo anaedanganya kati ya hawa wanne?
View attachment 3005613
Hapo ni Rick boy alienda kula kimasihara hata gari yake chini imejaa km mlima π€£π€£π€£
Sawa ila kunakitu najiuliza nilitegemea mabarafu yatakuwepo na barabarani π kote kwann yawe juu ya gari barbaran yasiweppπAu umeonaje hapo mkuu
Umeangalizia hauna akili hizo ππHapo ni Rick boy alienda kula kimasihara hata gari yake chini imejaa km mlima π€£π€£π€£
La nne Bππππ bila bila
Jua linagonga utosi