Ni Nani Mwakilishi Bora Wa Muda Wote Wa Muziki Asilia Wa Tanzania...?

Ni Nani Mwakilishi Bora Wa Muda Wote Wa Muziki Asilia Wa Tanzania...?

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
5,089
Reaction score
9,664
Asante Sana Chacha Maginga TBC..! Kwa kutuletea Kazi mbali mbali za Muziki ambazo Zimewahi kufanywa na Makundi mbalimbali Ya Muziki TZ na Afrika.
Leo jan 11 ya 2022 Kipindi chako cha Usiku TBC 'nyumba Ya Dhahabu' umetuletea Kazi za Vikundi anuai
Msondo
Sikinde
Maquiz
Ramadhani Lemmy Ongala
Mutukuzi
Oliver Ngoma n.k.
Nimejiuliza Sana.....Ukienda Kongo Wengi Wanakili kuwa Zaiko Langa langa ndio Chimbuko hasa La Muziki Kongo Yaani Kitovu.
Sasa hapa Kwetu TZ, Ni nani anayeweza kupewa Kijiti kama Hicho ambaye bado Yupo Kwenye Gemu.anayestahili Hishma hiyo tuka mheshimisha....!
Nani hasa...!
 
Back
Top Bottom