Utekwaji na kuuliwa Kibao una utata mwingi.Sababu inayoelezea kilicho mtokea, ni maswala yaliyokuwa yanasemwa ndani ya chama chake; bila ya kuyatoa nje ya chama.
Sielewi ulichoandika; does you phone has a instead p ?
Hii ilinipita, kulitokea nini kwenye mazishi?Jee ndani ya Chadema nani alikuwa na mahusiano yanayotia shaka na mhimili uliojichimbia,na kilichotokea kwenye maziko ya Mzee Kibao kule Tanga na kwa kumalizia na huu ukimya wake na kujitenga kabisa na Chadema. Asomae na aelewe.
Waombolezaji walichukizwa na uwepo wa Waziri wa Mambo ya ndani kwenye maziko hayo na walitaka aondoke na asipewe nafasi ya kuongea lakini Mbowe alimkingia kifua jambo ambalo liliwaudhi sana waombolezaji kwani waliamini Waziri huyo ndiye boss wa waliotuhumiwa kumuua Mzee Kibao. Kwa nini Mbowe alikuwa upande wa mtuhumiwa wa mauaji?Hii ilinipita, kulitokea nini kwenye mazishi?
Unataka kusema wale waliobeba silaha na kusimamisha Basi njiani kwamba sio watu wa system?Utekwaji na kuuliwa Kibao una utata mwingi.
Kuna sehemu Chalamila kanukuliwa akisema si wote wanaotekwa na kuuliwa serikali inahusika nao. Hii maana yake ni kwamba wapo baadhi ya wanaotekwa na kuuawa na serikali, na wengine kuhusishwa na makundi mengine.
Nakubaliana naye 100%.
Kinachotatiza pengine ni vipi serikali ishindwe kuyafahamu na kuyadhibiti makundi hayo mengine?
Je bado yupo??????Pale chadema inaonekana kuna /?mtu/watu ambao kazi yao ni kupeleleza, kukusanya taarifa, kuzichambua na kuzifikisha kunaohusika..
Huyo mtu/watu bado wanachadema wenyewe hawajamjua.
Yupo cool sana, ni mchapakazi mzuri wa kazzi za chama, hapati bughhdha kutoka kwnye vikundi vya watekaji
Na hata akibughdhiwa huwa ni kwa ajili ya kuwazuga raia.
Ni kama MOSSAD ndani ya IRAN
huyo ndie huwachoma wenzake na kwemye misiba ni mhudhuriji mzuri
Watu wa hivyo unakuta kajichimbia ndani kabisa. Kumtoa/kuondoka nu ngumu. Haondoki kufuatia huu upepo waCHAUMA na uchaguzi. Kwa sasa yupo coolJe bado yupo??????
Yupo kwa maslahi ya chama au Taifa?Watu wa hivyo unakuta kajichimbia ndani kabisa. Kumtoa/kuondoka nu ngumu. Haondoki kufuatia huu upepo waCHAUMA na uchaguzi. Kwa sasa yupo cool
Uliza chamani/kwa aliye mpa hiyo task kupata jibu sahihiYupo kwa maslahi ya chama au Taifa?