Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Sio kweli...Kwasasa iko wazi. Huwez kumtenga Mbowe na vifo vya wana CHADEMA. He has been endorsing the killings

Punguza ujinga kwenye mambo ya msingi.Na mimi nilikuwa sijui, baadae nikasikia alikuwa mwanajeshi, akawa karibu na mkiti wa sasa kuandaa namna ya kuunda Jeshi la uasi kwa siri, na yeye ndiye aliandaa mpango kazi, baadae kila gololi ikatumbukia katika shimo lake
Sawa! Polisi wapo wapi kuwakamata hao wauaji wa ndani ya chama?Matukio mengi ya utekaji, na kuuawa kwa vijana wengi; hasa wafuasi wa CHADEMA yamehusishwa na maneno waliyo husishwa nayo yakielekezwa kwa viongozi au chama cha Mapinduzi. Maneno yaliyosemwa au kuandikwa kwenye mitandao.
Tofauti na hao wengine wote, yaliyomtokea Mzee Kibao kidogo yanaonekana kuwa tofauti na haya ya wengine. Huyu mzee, nje ya CHADEMA hakufahamika, na wala hakuwahi kuhutubia mkutano wa hadhara na kutamka maneno ambayo watu wangeyafikiria kuwa sababu ya yaliyo mtokea.
Na wala yeye asingeweza kuhusishwa na mkasa uliomfuata Padre Kitima; kwa sababu, hata kuhojiwa na vyombo vya habari hakuwahi kufanya hivyo.
Sababu inayoelezea kilicho mtokea, ni maswala yaliyokuwa yanasemwa ndani ya chama chake; bila ya kuyatoa nje ya chama.
Lakini kwa sababu hiyo, matokeo ya kilicho mata ni kile kile kilichowapata na wenzie wote; wale vijana waliopotea na wengine kuuawa; na wengine kunusurika, kama ilivyotokea kwa Padre Kitima.
Kwa sababu hiyo, ni sahihi kuhitimisha kwamba, mhusika wa matukio yote hayo anatokea sehemu moja.
Mzee Kibao aligusa maslahi ya mtu/kundi lile lile linaloguswa na hawa wengine wote waliopatwa na mikasa ya kupotea au kuuawa.
Waulize hamasa/redbrigade wa chadema watakwambia alikuwa ni nani!Na hata Chadema wenyewe HAWAWEZI kukwambia kiundani huyo Mzee alikuwa anafanya kazi hasa ndani ya Chadema. Lakini Kuna watu walijua.........!
Kule chadema ukisha piga nondo, ukawa unapga ngumi ukutani, ukatunisha kifua, TAYARI WE NI INTELIJENSIASasa kama chadema hawamjui, wewe umemjuaje kwa hizo sifa zake ulizotaja? Hivi kwani chadema haina intelijensia?
Ila ukwel ni upi?Sio kweli...
Hakuna kitu kama icho wewe chawa jichetue tu kwani nani asiye tambua kwamba Aya mambo yanafanywa na fisiem.Matukio mengi ya utekaji, na kuuawa kwa vijana wengi; hasa wafuasi wa CHADEMA yamehusishwa na maneno waliyo husishwa nayo yakielekezwa kwa viongozi au chama cha Mapinduzi. Maneno yaliyosemwa au kuandikwa kwenye mitandao.
Tofauti na hao wengine wote, yaliyomtokea Mzee Kibao kidogo yanaonekana kuwa tofauti na haya ya wengine. Huyu mzee, nje ya CHADEMA hakufahamika, na wala hakuwahi kuhutubia mkutano wa hadhara na kutamka maneno ambayo watu wangeyafikiria kuwa sababu ya yaliyo mtokea.
Na wala yeye asingeweza kuhusishwa na mkasa uliomfuata Padre Kitima; kwa sababu, hata kuhojiwa na vyombo vya habari hakuwahi kufanya hivyo.
Sababu inayoelezea kilicho mtokea, ni maswala yaliyokuwa yanasemwa ndani ya chama chake; bila ya kuyatoa nje ya chama.
Lakini kwa sababu hiyo, matokeo ya kilicho mata ni kile kile kilichowapata na wenzie wote; wale vijana waliopotea na wengine kuuawa; na wengine kunusurika, kama ilivyotokea kwa Padre Kitima.
Kwa sababu hiyo, ni sahihi kuhitimisha kwamba, mhusika wa matukio yote hayo anatokea sehemu moja.
Mzee Kibao aligusa maslahi ya mtu/kundi lile lile linaloguswa na hawa wengine wote waliopatwa na mikasa ya kupotea au kuuawa.
Ila jamaa kwel katulia tuliiiii kama si mpinzan vileHivi Mnyika aliwai kutiwa mshike mshike?
Usiku mwemaIla jamaa kwel katulia tuliiiii kama si mpinzan vile
Sasa kama mtu anachoma tu picha,mahakama inamhukumu analipa fine...anatoka,anatekwaNa hata Chadema wenyewe HAWAWEZI kukwambia kiundani huyo Mzee alikuwa anafanya kazi hasa ndani ya Chadema. Lakini Kuna watu walijua.........!
🙋🤔💭🆗Matukio mengi ya utekaji, na kuuawa kwa vijana wengi; hasa wafuasi wa CHADEMA yamehusishwa na maneno waliyo husishwa nayo yakielekezwa kwa viongozi au chama cha Mapinduzi. Maneno yaliyosemwa au kuandikwa kwenye mitandao.
Tofauti na hao wengine wote, yaliyomtokea Mzee Kibao kidogo yanaonekana kuwa tofauti na haya ya wengine. Huyu mzee, nje ya CHADEMA hakufahamika, na wala hakuwahi kuhutubia mkutano wa hadhara na kutamka maneno ambayo watu wangeyafikiria kuwa sababu ya yaliyo mtokea.
Na wala yeye asingeweza kuhusishwa na mkasa uliomfuata Padre Kitima; kwa sababu, hata kuhojiwa na vyombo vya habari hakuwahi kufanya hivyo.
Sababu inayoelezea kilicho mtokea, ni maswala yaliyokuwa yanasemwa ndani ya chama chake; bila ya kuyatoa nje ya chama.
Lakini kwa sababu hiyo, matokeo ya kilicho mata ni kile kile kilichowapata na wenzie wote; wale vijana waliopotea na wengine kuuawa; na wengine kunusurika, kama ilivyotokea kwa Padre Kitima.
Kwa sababu hiyo, ni sahihi kuhitimisha kwamba, mhusika wa matukio yote hayo anatokea sehemu moja.
Mzee Kibao aligusa maslahi ya mtu/kundi lile lile linaloguswa na hawa wengine wote waliopatwa na mikasa ya kupotea au kuuawa.
🙋🤔💭🆗Mzee Kibao alisema juu ya hela aliyokuwa anagawa Abdul kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa Chadema na aliahidi kuweka wazi kila kitu na kabla ya kufanya hivyo yakamkuta yaliyomkuta. Hapa lazima kuna mkono wa mtu mzito ndani ya Chadema alihusika kwa kushirikiana na Dola. Jee ndani ya Chadema nani alikuwa na mahusiano yanayotia shaka na mhimili uliojichimbia,na kilichotokea kwenye maziko ya Mzee Kibao kule Tanga na kwa kumalizia na huu ukimya wake na kujitenga kabisa na Chadema. Asomae na aelewe.
Hawataki wastaafu wa jeshi waende Chadema kwa hofu wazijuao wao. HAMJAELEWA TU.Niliwahi kuwaza kuwa huenda yule alikuwa mtu wa System!
Huenda kilichomua Gen Imran Kombe (former Mkur.
wa Usal) enzi za Mkapa ndicho kilichopelekea umauti wake.
Damu ya Ally Kibao haitopita kimya, Lingine ni hili, Wako waliokuja Chadema pamoja na Lowassa wakaamua kuwa Chadema milele, mfano mmoja ni Makongoro Mahanga (Tafakari kidogo)Matukio mengi ya utekaji, na kuuawa kwa vijana wengi; hasa wafuasi wa CHADEMA yamehusishwa na maneno waliyo husishwa nayo yakielekezwa kwa viongozi au chama cha Mapinduzi. Maneno yaliyosemwa au kuandikwa kwenye mitandao.
Tofauti na hao wengine wote, yaliyomtokea Mzee Kibao kidogo yanaonekana kuwa tofauti na haya ya wengine. Huyu mzee, nje ya CHADEMA hakufahamika, na wala hakuwahi kuhutubia mkutano wa hadhara na kutamka maneno ambayo watu wangeyafikiria kuwa sababu ya yaliyo mtokea.
Na wala yeye asingeweza kuhusishwa na mkasa uliomfuata Padre Kitima; kwa sababu, hata kuhojiwa na vyombo vya habari hakuwahi kufanya hivyo.
Sababu inayoelezea kilicho mtokea, ni maswala yaliyokuwa yanasemwa ndani ya chama chake; bila ya kuyatoa nje ya chama.
Lakini kwa sababu hiyo, matokeo ya kilicho mata ni kile kile kilichowapata na wenzie wote; wale vijana waliopotea na wengine kuuawa; na wengine kunusurika, kama ilivyotokea kwa Padre Kitima.
Kwa sababu hiyo, ni sahihi kuhitimisha kwamba, mhusika wa matukio yote hayo anatokea sehemu moja.
Mzee Kibao aligusa maslahi ya mtu/kundi lile lile linaloguswa na hawa wengine wote waliopatwa na mikasa ya kupotea au kuuawa.
Kumfahamu huku nje, sio, hoja,alikuwa, mstaafu wa, jeshi, highly decorated, military officer, from intelligence division, that is what matters,Matukio mengi ya utekaji, na kuuawa kwa vijana wengi; hasa wafuasi wa CHADEMA yamehusishwa na maneno waliyo husishwa nayo yakielekezwa kwa viongozi au chama cha Mapinduzi. Maneno yaliyosemwa au kuandikwa kwenye mitandao.
Tofauti na hao wengine wote, yaliyomtokea Mzee Kibao kidogo yanaonekana kuwa tofauti na haya ya wengine. Huyu mzee, nje ya CHADEMA hakufahamika, na wala hakuwahi kuhutubia mkutano wa hadhara na kutamka maneno ambayo watu wangeyafikiria kuwa sababu ya yaliyo mtokea.
Na wala yeye asingeweza kuhusishwa na mkasa uliomfuata Padre Kitima; kwa sababu, hata kuhojiwa na vyombo vya habari hakuwahi kufanya hivyo.
Sababu inayoelezea kilicho mtokea, ni maswala yaliyokuwa yanasemwa ndani ya chama chake; bila ya kuyatoa nje ya chama.
Lakini kwa sababu hiyo, matokeo ya kilicho mata ni kile kile kilichowapata na wenzie wote; wale vijana waliopotea na wengine kuuawa; na wengine kunusurika, kama ilivyotokea kwa Padre Kitima.
Kwa sababu hiyo, ni sahihi kuhitimisha kwamba, mhusika wa matukio yote hayo anatokea sehemu moja.
Mzee Kibao aligusa maslahi ya mtu/kundi lile lile linaloguswa na hawa wengine wote waliopatwa na mikasa ya kupotea au kuuawa.
Ndiyo maana wewe ni "mtoto wa nzi' kwa sababu ulizaliwa, kuishi na utakufa kwenye uchafu huo huo ulioutaja.Jeshini aliingiaje kama alikuwa hajulikani!?? Watotonwake hawamjui!?? Majirani!?? Tofauti ya ubongo wako na mavi ni harufu tu.
Mbowe anajua yote kuhusu wana CHADEMA waliopotea na kuuawa tangu enzi za Chacha Wangwe. Mhusika na Joka kuu ni Mbowe.Matukio mengi ya utekaji, na kuuawa kwa vijana wengi; hasa wafuasi wa CHADEMA yamehusishwa na maneno waliyo husishwa nayo yakielekezwa kwa viongozi au chama cha Mapinduzi. Maneno yaliyosemwa au kuandikwa kwenye mitandao.
Tofauti na hao wengine wote, yaliyomtokea Mzee Kibao kidogo yanaonekana kuwa tofauti na haya ya wengine. Huyu mzee, nje ya CHADEMA hakufahamika, na wala hakuwahi kuhutubia mkutano wa hadhara na kutamka maneno ambayo watu wangeyafikiria kuwa sababu ya yaliyo mtokea.
Na wala yeye asingeweza kuhusishwa na mkasa uliomfuata Padre Kitima; kwa sababu, hata kuhojiwa na vyombo vya habari hakuwahi kufanya hivyo.
Sababu inayoelezea kilicho mtokea, ni maswala yaliyokuwa yanasemwa ndani ya chama chake; bila ya kuyatoa nje ya chama.
Lakini kwa sababu hiyo, matokeo ya kilicho mata ni kile kile kilichowapata na wenzie wote; wale vijana waliopotea na wengine kuuawa; na wengine kunusurika, kama ilivyotokea kwa Padre Kitima.
Kwa sababu hiyo, ni sahihi kuhitimisha kwamba, mhusika wa matukio yote hayo anatokea sehemu moja.
Mzee Kibao aligusa maslahi ya mtu/kundi lile lile linaloguswa na hawa wengine wote waliopatwa na mikasa ya kupotea au kuuawa.
JF ni hazina kubwa!..serikali ilikuwa inamfahamu vizuri Mzee Ally Kibao.
..walishawahi kumteka wakati akiwa mwanachama wa Cuf.
..walioshuhudia utekwaji wa Mzee Kibao wanasema watekaji walikuwa wamebeba silaha zinazotumiwa na watu wa idara ya usalama.
Naomba uwe mwangalifu unapotaja watu, hususani "Jokaa Kuu", hana uhusiano wowote na hayo unayoeleza wewe.Mbowe anajua yote kuhusu wana CHADEMA waliopotea na kuuawa tangu enzi za Chacha Wangwe. Mhusika na Joka kuu ni Mbowe.