Ni nani nje ya CHADEMA alimfahamu Mzee Ally Kibao kabla ya mkasa uliotokea?

Naomba uwe mwangalifu unapotaja watu, hususani "Jokaa Kuu", hana uhusiano wowote na hayo unayoeleza wewe.
Huyo mwingine sina lolote la kumtetea.
Mme guswa siyo. Ugaidi wa Mbowe kwani ni wa siri? Mbona hata Samia wakati ule akiwa mwanamama na muungwana kamili alimtia Mbowe ndani kwa ugaidi akitaka amunyooshe. Sema mama kazidiwa na wahuni waliokuwa wananufaika na matendo ya Mbowe. Lile ndo Joka kuu.
 
Ndiyo maana wewe ni "mtoto wa nzi' kwa sababu ulizaliwa, kuishi na utakufa kwenye uchafu huo huo ulioutaja.
Baada ya hapo sina la ziada na wewe.
Tofauti ya ubongo wako na mavi ni joto na harufu tu.
 
Mme guswa siyo. Ugaidi wa Mbowe kwani ni wa siri? Mbona hata Samia wakati ule akiwa mwanamama na muungwana kamili alimtia Mbowe ndani kwa ugaidi akitaka amunyooshe. Sema mama kazidiwa na wahuni waliokuwa wananufaika na matendo ya Mbowe. Lile ndo Joka kuu.
ALAA. Kumbe una maana ya Mbowe mwenyewe kuwa ''Joka Kuu"?

Wote wanaotumia Jukwaa hili wanamjuwa "Joka Kuu"; mchangiaji aliyejijengea heshima kubwa ndani ya ukumbi huu.

Hayo mengine uliyoongeza huko nakuachia mwenyewe uhangaike nayo.
 
Unataka kusema wale waliobeba silaha na kusimamisha Basi njiani kwamba sio watu wa system?

Iko wazi serikali inahusika na mauwaji ya mzee Kibao kwa asilimia mia.

Kama haihusiki Kwanini mpaka leo majibu ya uchunguzi wa Kifo chake hayajatolewa?
Kwa sababu alitaka kuweka wazi fedha za hongoi alizokuwa akipewa Mbowe ili asalie madarakani ndani ya CHADEMA kwa maslahi ya CCM.
 
Waombolezaji walichukizwa na uwepo wa Waziri wa Mambo ya ndani kwenye maziko hayo na walitaka aondoke na asipewe nafasi ya kuongea lakini Mbowe alimkingia kifua jambo ambalo liliwaudhi sana waombolezaji kwani waliamini Waziri huyo ndiye boss wa waliotuhumiwa kumuua Mzee Kibao. Kwa nini Mbowe alikuwa upande wa mtuhumiwa wa mauaji?
Mbowe siyo mtu mzuri hata kidogo
 
Sawa! Polisi wapo wapi kuwakamata hao wauaji wa ndani ya chama?
Je wanauhalali wa kufanya hivyo?
Hapana mkuu, 'gawaza', sijaandika kuwa "wauwaji wa ndani ya chama" wanahusika na matukio hayo. Utanisamehe kwa kutojieleza vizuri nieleweke.
 
Damu ya Ally Kibao haitopita kimya, Lingine ni hili, Wako waliokuja Chadema pamoja na Lowassa wakaamua kuwa Chadema milele, mfano mmoja ni Makongoro Mahanga (Tafakari kidogo)
Leo umetumia lugha ngumu kidogo ambayo imekuwa si rahisi kwangu kuielewa!
Hata hivyo, nashukuru kwamba umenielewa nilicholenga kukieleza kwenye mada hii.
 
Matukio mengi ya utekaji, na kuuawa kwa vijana wengi; hasa wafuasi wa CHADEMA yamehusishwa na maneno waliyo husishwa nayo yakielekezwa kwa viongozi au chama cha Mapinduzi. Maneno yaliyosemwa au kuandikwa kwenye mitandao.

Tofauti na hao wengine wote, yaliyomtokea Mzee Kibao kidogo yanaonekana kuwa tofauti na haya ya wengine. Huyu mzee, nje ya CHADEMA hakufahamika, na wala hakuwahi kuhutubia mkutano wa hadhara na kutamka maneno ambayo watu wangeyafikiria kuwa sababu ya yaliyo mtokea.

Na wala yeye asingeweza kuhusishwa na mkasa uliomfuata Padre Kitima; kwa sababu, hata kuhojiwa na vyombo vya habari hakuwahi kufanya hivyo.

Sababu inayoelezea kilicho mtokea, ni maswala yaliyokuwa yanasemwa ndani ya chama chake; bila ya kuyatoa nje ya chama.

Lakini kwa sababu hiyo, matokeo ya kilicho mata ni kile kile kilichowapata na wenzie wote; wale vijana waliopotea na wengine kuuawa; na wengine kunusurika, kama ilivyotokea kwa Padre Kitima.

Kwa sababu hiyo, ni sahihi kuhitimisha kwamba, mhusika wa matukio yote hayo anatokea sehemu moja.
Mzee Kibao aligusa maslahi ya mtu/kundi lile lile linaloguswa na hawa wengine wote waliopatwa na mikasa ya kupotea au kuuawa.
Kuna aliyekuwa kiongozi ndani ya chadema alipohamia chama cha kisamvu alitoa taarifa kuwa mzee Kibao alikuwa mtu mzuri wa kuplan mikakati ya chama na inafanikiwa. Inawezekana ndio sababu ya kuuawa.
 
Inawezekana kumbukumbu zangu zimechanganya: huyo aliyehamia "chama cha kisamvu" haikuwa baada ya Mzee Kibao kuuliwa kinyama?
 
Kuna aliyekuwa kiongozi ndani ya chadema alipohamia chama cha kisamvu alitoa taarifa kuwa mzee Kibao alikuwa mtu mzuri wa kuplan mikakati ya chama na inafanikiwa. Inawezekana ndio sababu ya kuuawa.
Hatimaye Mzimu wa Ally Kibao umerejea hewani tena, Damu ya mtu ni noma sana!
 
Ninachokumbuka waziwazi, ni kuwa kulitolewa ahadi ya "uchunguzi wa haraka" kuhusu jambo hili. Hiyo "haraka" sasa ni zaidi ya mwaka!
Kwa hiyo tuseme kiongozi haoni taabu kabisa kusema uongo?
 
Kibao hata wengi wa ndugu zake hawakujua kama alikuwa CDM hadi alipokutwa na mauti. wao walkuwa wanajua bdo yupo Cuf! Hivyo uwepo wa kirusi kikali CDM au system kuwa na mkono kwenye hilo inaweza kuwa kweli!
Umeibua jambo muhimu .

Mtu wa 'System' kuwa ndani ya CHADEMA kama mwanachama ni kosa. Ndani ya CCM hakuna watu wa "system", kama wanachama?
Au tuseme kuna zuio hao watu wasiwe kwenye chama chochote cha siasa? Hata wakistaafu hairuhusu? Mbona olisi, askari wa JW huingia CCM?
 
Matukio mengi ya utekaji, na kuuawa kwa vijana wengi; hasa wafuasi wa CHADEMA yamehusishwa na maneno waliyo husishwa nayo yakielekezwa kwa viongozi au chama cha Mapinduzi. Maneno yaliyosemwa au kuandikwa kwenye mitandao.

Tofauti na hao wengine wote, yaliyomtokea Mzee Kibao kidogo yanaonekana kuwa tofauti na haya ya wengine. Huyu mzee, nje ya CHADEMA hakufahamika, na wala hakuwahi kuhutubia mkutano wa hadhara na kutamka maneno ambayo watu wangeyafikiria kuwa sababu ya yaliyo mtokea.

Na wala yeye asingeweza kuhusishwa na mkasa uliomfuata Padre Kitima; kwa sababu, hata kuhojiwa na vyombo vya habari hakuwahi kufanya hivyo.

Sababu inayoelezea kilicho mtokea, ni maswala yaliyokuwa yanasemwa ndani ya chama chake; bila ya kuyatoa nje ya chama.

Lakini kwa sababu hiyo, matokeo ya kilicho mata ni kile kile kilichowapata na wenzie wote; wale vijana waliopotea na wengine kuuawa; na wengine kunusurika, kama ilivyotokea kwa Padre Kitima.

Kwa sababu hiyo, ni sahihi kuhitimisha kwamba, mhusika wa matukio yote hayo anatokea sehemu moja.
Mzee Kibao aligusa maslahi ya mtu/kundi lile lile linaloguswa na hawa wengine wote waliopatwa na mikasa ya kupotea au kuuawa.
Alikuwa ni strategist wa chama hakuwa mtu wa field
Case closed
 
Alikuwa mtu wa kitengo cha usalama ndani ya chadema intelligence yao ... pia aliwah kuwa captain wa jwtz.... yawezekane katika kazi ya intelligence ndani ya chama kuna vitu viliingiliana
 
Kuna uwezekano mkubwa chadema wanahusika kwenye vifo vya wanachama wao wenyewe ili kutafuta huruma ya wananchi na kumchafua samia
 
Back
Top Bottom