Ni nani nje ya CHADEMA alimfahamu Mzee Ally Kibao kabla ya mkasa uliotokea?

Alikuwa mtu wa kitengo cha usalama ndani ya chadema intelligence yao ... pia aliwah kuwa captain wa jwtz.... yawezekane katika kazi ya intelligence ndani ya chama kuna vitu viliingiliana
Kinacho julikana na kuwachanganya CHADEMA wenyewe, ni PESA za Bw. Abdul...; haya mengine yote yanayokuja sasa ni kuchanganya akili za watu.

Hii PESA ya Abdul inao mchango mkubwa katika kuuliwa kwa huyo mzee, na siyo sababu ya kazi zake alizo wafanyia CHADEMA.
 
Kuna uwezekano mkubwa chadema wanahusika kwenye vifo vya wanachama wao wenyewe ili kutafuta huruma ya wananchi na kumchafua samia
Wewe naona ni mwamini wa mazingaombwe, sawa na yale yale ya Tundu Lissu kutaka kuuliwa na dereva wake au yeye mwenyewe. Nyinyi ni watu wa akili tofauti sana na za wengine!
 
Yeah kwasababu sipelekwi kama nyumbu kama nyie
 
Mzee Kibao alisema juu ya hela aliyokuwa anagawa Abdul kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa Chadema na aliahidi kuweka wazi kila kitu na kabla ya kufanya hivyo yakamkuta yaliyomkuta. Hapa lazima kuna mkono wa mtu mzito ndani ya Chadema alihusika kwa kushirikiana na Dola. Jee ndani ya Chadema nani alikuwa na mahusiano yanayotia shaka na mhimili uliojichimbia,na kilichotokea kwenye maziko ya Mzee Kibao kule Tanga na kwa kumalizia na huu ukimya wake na kujitenga kabisa na Chadema. Asomae na aelewe.
Was Mzee Kibao Wangwelized too? 😳😳

20250708_114254.png
 
Matukio mengi ya utekaji, na kuuawa kwa vijana wengi; hasa wafuasi wa CHADEMA yamehusishwa na maneno waliyo husishwa nayo yakielekezwa kwa viongozi au chama cha Mapinduzi. Maneno yaliyosemwa au kuandikwa kwenye mitandao.

Tofauti na hao wengine wote, yaliyomtokea Mzee Kibao kidogo yanaonekana kuwa tofauti na haya ya wengine. Huyu mzee, nje ya CHADEMA hakufahamika, na wala hakuwahi kuhutubia mkutano wa hadhara na kutamka maneno ambayo watu wangeyafikiria kuwa sababu ya yaliyo mtokea.

Na wala yeye asingeweza kuhusishwa na mkasa uliomfuata Padre Kitima; kwa sababu, hata kuhojiwa na vyombo vya habari hakuwahi kufanya hivyo.

Sababu inayoelezea kilicho mtokea, ni maswala yaliyokuwa yanasemwa ndani ya chama chake; bila ya kuyatoa nje ya chama.

Lakini kwa sababu hiyo, matokeo ya kilicho mata ni kile kile kilichowapata na wenzie wote; wale vijana waliopotea na wengine kuuawa; na wengine kunusurika, kama ilivyotokea kwa Padre Kitima.

Kwa sababu hiyo, ni sahihi kuhitimisha kwamba, mhusika wa matukio yote hayo anatokea sehemu moja.
Mzee Kibao aligusa maslahi ya mtu/kundi lile lile linaloguswa na hawa wengine wote waliopatwa na mikasa ya kupotea au kuuawa.
Mkuu Kalamu kifo cha Kibao kina utata ila wengi tulicho na uhakika nacho ni kwamba aliuawa na dola. Hebu niungashe ramli zangu za hapa na pale ambazo zinaweza kuwa zinasema uongo.
1. ''Mwamba'' kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ilikuwa ni jambo muhimu sana sana kwa ''mama'' na dola. Hii ilifanya ''mama'' kufanya juu chini ili kumnasa Mwamba, na kumfanya aingie naye makubaliano. Walikuwa wamekubaliana kuwa Mwamba aendelee kuwa mwenyekiti, lakini mlengo wa CHADEMA ubadilike na usiwe ni upinzani wa kweli. Walikubaliana kuwa CHADEMA itapewa baadhi ya majimbo na Mwamba ataingia kwenye serikali za umoja wa kitaifa. Walikubaliana kuwa Mwamba aongoze kikao cha ndani cha CHADEMA, kitoe tamko kuwa ''No reform, No election'', ili ''mama'' apate sababu ya kutumia Bunge kufanya mabadiliko madogo kwenye katiba, na kuwe na serikali ya umoja wa kitaifa. Sambamba na hili, mama alitoa fedha nyingi ili kufanikisha Mwamba kuendelea kuwa mwenyekiti. walikubaliana kuwa Mwamba angeshiriki kwenye uchaguzi kama mgombea wa urais, lakini asingetoa ushindani wa kweli. Lengo lilikuwa ni kupunguza kelele za upinzani moja kwa moja, ili nchi iweze ''kuliwa'' vizuri. Lissu angewekwa benchi, na anyimwe uwanja wa kuongea chochote na pengine afukuzwe na vyama vingine vinyimwe uwezekano wa kumpokea. Bahati nzuri sana Kibao alikuwa anajua haya kwa undani kwa sababu alishirikishwa. Na yeye baadae akamfikishia Lissu. Mama alipoambiwa mipango imejulikana ndiyo ikabidi itolewa adhabu.
2. Katika mambo ambayo yalimchanganya mama na dola, ni Mwamba kushindwa uenyekiti. Hawakuwa wanategemea kabisa kwani walikuwa wamepiga mahesabu na fedha nyingi zilitumika. Kwa kifupi ilikuwa ni lazima Mwamba ashinde na walikuwa na uhakika wana wajumbe wa kutosha. Kujiamini kwao ndiyo ilikuwa maangazi yao. Na maangamízi yao yaliwezekana kwa sababu ya 'mdudu'' anayeitwa ''Sauti ya watanzania''. Hiki ni kikundi cha kwenye mtandao cha watanzania wengi wao wakiwa nje ya nchi. Hawa walifanya kampeni za chini kwa chini na zenye usiri mkubwa mpaka wakawezesha Lissu kupata wajumbe wa kushinda. Lissu aliposhinda akageuza ile geresha ya ''No reform no election'' kuwa kauli mbiu ya kweli. Mama akachanganyikiwa, alichotaka kisitokee, kimetokea. Ikaonekana hali siyo nzuri, itafutwe njia ya kupooza mambo, ikaundwa kesi ya kuunga unga, ikapewa jina la uhaini, na lengo kubwa likiwa ni Lissu kukaa ndani angalau mpaka uchaguzi ukaribie au uishe japo wanakuna vichwa wanawezaje kuifanya CHADEMA ishiriki uchaguzi ''safely'' bila kumharibia mama. Adhabu kwa walioharibu hii mision haikushia kwa Kibao tu, kuna member wa hicho kikundi cha Sauti ya watanzania anaitwa Kaswahili, naye hajulikani aliko na ali-play part kubwa kwenye ushindi wa Lissu. Za chini chini zanasema naye kapewa adhabu, japo wengi wanakataa. Haya yote niliyoandika ni maoni ya watu ua kuunga-unga tu na inawekana kabisa hayana ukweli wowote
 
Lengo lilikuwa ni kupunguza kelele za upinzani moja kwa moja, ili nchi iweze ''kuliwa'' vizuri. Lissu angewekwa benchi, na anyimwe uwanja wa kuongea chochote na pengine afukuzwe na vyama vingine vinyimwe uwezekano wa kumpokea. Bahati nzuri sana Kibao alikuwa anajua haya kwa undani kwa sababu alishirikishwa. Na yeye baadae akamfikishia Lissu. Mama alipoambiwa mipango imejulikana ndiyo ikabidi itolewa adhabu.
Hili ndilo lilikuwa chokonozi ya mada nzima hii niliyoweka hapa. Kwa bahati nzuri/mbaya, uwanja huu wa Jukwaa una kila aina ya wachezaji, hata wale wa viwanja vya mchangani hucheza na wale wa Ligi Kuu!

Yooote uliyo eleza huko juu ya andiko lako nakubaliana nayo moja kwa moja; kwa sababu ushahidi wake umo humu JF toka mwanzo, Mbowe alipotoka Gerezani.
Nakuongeza sana kwa umakini wako mkuu 'macho'.
 
Matukio mengi ya utekaji, na kuuawa kwa vijana wengi; hasa wafuasi wa CHADEMA yamehusishwa na maneno waliyo husishwa nayo yakielekezwa kwa viongozi au chama cha Mapinduzi. Maneno yaliyosemwa au kuandikwa kwenye mitandao.

Tofauti na hao wengine wote, yaliyomtokea Mzee Kibao kidogo yanaonekana kuwa tofauti na haya ya wengine. Huyu mzee, nje ya CHADEMA hakufahamika, na wala hakuwahi kuhutubia mkutano wa hadhara na kutamka maneno ambayo watu wangeyafikiria kuwa sababu ya yaliyo mtokea.

Na wala yeye asingeweza kuhusishwa na mkasa uliomfuata Padre Kitima; kwa sababu, hata kuhojiwa na vyombo vya habari hakuwahi kufanya hivyo.

Sababu inayoelezea kilicho mtokea, ni maswala yaliyokuwa yanasemwa ndani ya chama chake; bila ya kuyatoa nje ya chama.

Lakini kwa sababu hiyo, matokeo ya kilicho mata ni kile kile kilichowapata na wenzie wote; wale vijana waliopotea na wengine kuuawa; na wengine kunusurika, kama ilivyotokea kwa Padre Kitima.

Kwa sababu hiyo, ni sahihi kuhitimisha kwamba, mhusika wa matukio yote hayo anatokea sehemu moja.
Mzee Kibao aligusa maslahi ya mtu/kundi lile lile linaloguswa na hawa wengine wote waliopatwa na mikasa ya kupotea au kuuawa.
Ndugu zake, watoto wake na rafiki zake.
 
Haya yote niliyoandika ni maoni ya watu ua kuunga-unga tu na inawekana kabisa hayana ukweli wowote
Huku unakokusema "kuungaunga", ni wengi sana tumekufanya na kuleta mantiki.

Kuna jambo muhimu umelitaja, kuhusiana na kushindwa kwa 'project' Mbowe. Sasa ni muhimu kutumia mbinu hizo hizo kupambana na 'PROJECT' Samia kuiba uchaguzi.
 
Kuna uwezekano mkubwa chadema wanahusika kwenye vifo vya wanachama wao wenyewe ili kutafuta huruma ya wananchi na kumchafua samia
Halafu vyombo vya ulinzi na usalama vinawaogopa hao Chadema ili waendelee kumchafua Boss wao na kwa maana hiyo hivyo vyombo vya dola ni dhaifu sana kuwaacha Chadema wateke na kuua watu hovyo, hii haiingii akilini labda kwa mazombie ya huko CCM.
 
Wewe naona ni mwamini wa mazingaombwe, sawa na yale yale ya Tundu Lissu kutaka kuuliwa na dereva wake au yeye mwenyewe. Nyinyi ni watu wa akili tofauti sana na za wengine!
Huko CCM wanatumia makalio kufikiri
 
Was Mzee Kibao Wangwelized too? 😳😳

View attachment 3399563
Nafikiri kile kisomo cha wazee kule Tanga kimeanza kufanya kazi kiasi ameshindwa tena kujificha anaona aibu hata kuwasiliana na viongozi wenzake kwani bado ni mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu, damu ya Mzee Kibao inamhukumu.
 
Mkuu Kalamu kifo cha Kibao kina utata ila wengi tulicho na uhakika nacho ni kwamba aliuawa na dola. Hebu niungashe ramli zangu za hapa na pale ambazo zinaweza kuwa zinasema uongo.
1. ''Mwamba'' kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ilikuwa ni jambo muhimu sana sana kwa ''mama'' na dola. Hii ilifanya ''mama'' kufanya juu chini ili kumnasa Mwamba, na kumfanya aingie naye makubaliano. Walikuwa wamekubaliana kuwa Mwamba aendelee kuwa mwenyekiti, lakini mlengo wa CHADEMA ubadilike na usiwe ni upinzani wa kweli. Walikubaliana kuwa CHADEMA itapewa baadhi ya majimbo na Mwamba ataingia kwenye serikali za umoja wa kitaifa. Walikubaliana kuwa Mwamba aongoze kikao cha ndani cha CHADEMA, kitoe tamko kuwa ''No reform, No election'', ili ''mama'' apate sababu ya kutumia Bunge kufanya mabadiliko madogo kwenye katiba, na kuwe na serikali ya umoja wa kitaifa. Sambamba na hili, mama alitoa fedha nyingi ili kufanikisha Mwamba kuendelea kuwa mwenyekiti. walikubaliana kuwa Mwamba angeshiriki kwenye uchaguzi kama mgombea wa urais, lakini asingetoa ushindani wa kweli. Lengo lilikuwa ni kupunguza kelele za upinzani moja kwa moja, ili nchi iweze ''kuliwa'' vizuri. Lissu angewekwa benchi, na anyimwe uwanja wa kuongea chochote na pengine afukuzwe na vyama vingine vinyimwe uwezekano wa kumpokea. Bahati nzuri sana Kibao alikuwa anajua haya kwa undani kwa sababu alishirikishwa. Na yeye baadae akamfikishia Lissu. Mama alipoambiwa mipango imejulikana ndiyo ikabidi itolewa adhabu.
2. Katika mambo ambayo yalimchanganya mama na dola, ni Mwamba kushindwa uenyekiti. Hawakuwa wanategemea kabisa kwani walikuwa wamepiga mahesabu na fedha nyingi zilitumika. Kwa kifupi ilikuwa ni lazima Mwamba ashinde na walikuwa na uhakika wana wajumbe wa kutosha. Kujiamini kwao ndiyo ilikuwa maangazi yao. Na maangamízi yao yaliwezekana kwa sababu ya 'mdudu'' anayeitwa ''Sauti ya watanzania''. Hiki ni kikundi cha kwenye mtandao cha watanzania wengi wao wakiwa nje ya nchi. Hawa walifanya kampeni za chini kwa chini na zenye usiri mkubwa mpaka wakawezesha Lissu kupata wajumbe wa kushinda. Lissu aliposhinda akageuza ile geresha ya ''No reform no election'' kuwa kauli mbiu ya kweli. Mama akachanganyikiwa, alichotaka kisitokee, kimetokea. Ikaonekana hali siyo nzuri, itafutwe njia ya kupooza mambo, ikaundwa kesi ya kuunga unga, ikapewa jina la uhaini, na lengo kubwa likiwa ni Lissu kukaa ndani angalau mpaka uchaguzi ukaribie au uishe japo wanakuna vichwa wanawezaje kuifanya CHADEMA ishiriki uchaguzi ''safely'' bila kumharibia mama. Adhabu kwa walioharibu hii mision haikushia kwa Kibao tu, kuna member wa hicho kikundi cha Sauti ya watanzania anaitwa Kaswahili, naye hajulikani aliko na ali-play part kubwa kwenye ushindi wa Lissu. Za chini chini zanasema naye kapewa adhabu, japo wengi wanakataa. Haya yote niliyoandika ni maoni ya watu ua kuunga-unga tu na inawekana kabisa hayana ukweli wowote
Swadaktaa !!! Ni dola ila kiasi mwamba naye alitoa assist.
 
Back
Top Bottom