Matukio mengi ya utekaji, na kuuawa kwa vijana wengi; hasa wafuasi wa CHADEMA yamehusishwa na maneno waliyo husshwa nayo yakielekezwa kwa viongozi au chama cha Mainduzi. Maneno yaliyosemwa au kuandikwa kwenye mitandao.
Tofauti na hao wengine wote, yaliyomtokea Mzee Kibao kidogo yanaonekana kuwa tofauti na haya ya wengine. Huyu mzee, nje ya CHADEMA hakufahamika, na wala hakuwahi kuhutubia mkutano wa hadhara na kutamka maneno ambayo watu wange yafikiria kuwa sababu ya yaliyo mtokea.
Na wala yeye asingeweza kuhusishwa na mkasa uliomfuaata Padre Kitima; kwa sababu, haata kuhojiwa na vyombo vya haabari hakuwahi kufanya hivyo.
Sababu inayoelezea kilicho mtokea, ni maswala yaliyokuwa yanasemwa ndani ya chama chake; bila ya kuyatoa nje ya chama.
Lakini kwa sababu hiyo, matokeo ya kilicho mata ni kile kile kilichowaata na wenzie wote; wale vijana waliootea na wengine kuuawa; na wengine kunusurika, kama ilivyotokea kwa Padre Kitima.
Kwa sababu hiyo, ni sahihi kuhitimisha kwamba, mhusika wa matukio yote hayo anatokea sehemu moja.
Mzee Kibao aligusa maslahi ya mtu/kundi lile lile linaloguswa na hawa wengine wote walioatwa na mikasa ya kuotea au kuuawa.