Ni Nani Shujaa Wa Mtanange Wa Stars Dhidi Ya Benin - Manula Au Msuva?

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
5,089
Reaction score
9,664
Swali hili ni La Kawaida Sana , tusilichukulie Ki Usimba Na Uyanga.
Goli La huyu Mwamba Msuva Lilikuwa Fantastic ...! Lakini ile misukosuko Iliyoelekezwa Langoni Kwa Stars Sio Ya Kitoto na Manula alifanya Kazi nzuri na Ya Ziada Kufanya saves za Maana...! Hatimaye tumeibuka Washindi.
Kwako Shujaa ni Yupi?
 
Manula alifanya kazi ,ila Kennedy nae alikuwa na kazi nzuri
 
Swali hili ni La Kawaida Sana , tusilichukulie Ki Usimba Na Uyanga.
Goli La huyu Mwamba Msuva Lilikuwa Fantastic ...! Lakini ile misukosuko Iliyoelekezwa Langoni Kwa Stars Sio Ya Kitoto na Manula alifanya Kazi nzuri na Ya Ziada Kufanya saves za Maana...! Hatimaye tumeibuka Washindi.
Kwako Shujaa ni Yupi?
Hya ni vizuri tufuze kwenye hilo kundi, ila tuombe Mungu wanasiasi wakijani wasiingilii kwa hatua hi.
 
Swali hili ni La Kawaida Sana , tusilichukulie Ki Usimba Na Uyanga.
Goli La huyu Mwamba Msuva Lilikuwa Fantastic ...! Lakini ile misukosuko Iliyoelekezwa Langoni Kwa Stars Sio Ya Kitoto na Manula alifanya Kazi nzuri na Ya Ziada Kufanya saves za Maana...! Hatimaye tumeibuka Washindi.
Kwako Shujaa ni Yupi?
Manula. Tungekula.nyingi ila.yote kwa yote tumekosa nafasi pia nyingi.kupitia samata
 
Turudi uwanjani kuicheki hii mechi tena na tena mjini Cotonou , Benin kupitia video hii ndefu :

JANA TAIFA STARS TULIPONEA PADOGO SANA, TIMU NZIMA ILIJITUMA KITIMU

"Le résumé du match Bénin - Tanzanie (0-1) de la 4ème journée des éliminatoires de la Coupe du monde Qatar 2022.".*
Source : Esae TV
 
Mpira wa miguu siyo kama tennis! Matokeo ya uwanjani huhusisha wachezaji wote 11! Na siyo mmoja au wawili pekee.
 
10 Octobre 2021
Cotonou, Bènin

HALI YA MASHABIKI WA BÈNIN BAADA YA KICHAPO NYUMBANI

BENIN 0 - 1 TANZANIE

Mashabiki wa Bènin wakitoka uwanjani baada ya the Squirrels (Kicheche) kutandikwa bao moja ingawa walicheza vizuri zaidi ya Taifa Stars. Mashabiki wa Bènin waliisubiri timu yao na kuwapigia makofi na nderemo kuonesha kukubali kazi waliyoifanya uwanjani haikuwa mchezo mchezo bali baharini haikuwa kwai Bènin

Atmosphere at the Stadium after the defeat of the squirrels.

Ambiance au Stade après la défaite des écureuils.

Source : Open Benin TV
 
Back
Top Bottom