Ilitimia!Mungu saidia Mkongo akalishwe na Madagascar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilitimia!Mungu saidia Mkongo akalishwe na Madagascar
Ngoja tuone kama show haitabuma kama kawaida yetuIlitimia!
Vijana wawe Focused kwenye mechi mbili zilizobaki.Mechi ya muhimu sana ni hii ya DRC Dar.DRC wakiwaita wacongo wanaocheza Tanzania wanaweza kutusumbua lakini wale wa Ulaya hamna kituNgoja tuone kama show haitabuma kama kawaida yetu
Watu wote huomba hivyo, Mungu hukaa pembeni wakati wa mashindano.Mungu atasaidia tuiombee nchi yetu
Mungu ibariki Tanzania,wewe wasema!Watu wote huomba hivyo, Mungu hukaa pembeni wakati wa mashindano.