kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Manula alifanya kazi ,ila Kennedy nae alikuwa na kazi nzuriSwali hili ni La Kawaida Sana , tusilichukulie Ki Usimba Na Uyanga.
Goli La huyu Mwamba Msuva Lilikuwa Fantastic ...! Lakini ile misukosuko Iliyoelekezwa Langoni Kwa Stars Sio Ya Kitoto na Manula alifanya Kazi nzuri na Ya Ziada Kufanya saves za Maana...! Hatimaye tumeibuka Washindi.
Kwako Shujaa ni Yupi?
Hya ni vizuri tufuze kwenye hilo kundi, ila tuombe Mungu wanasiasi wakijani wasiingilii kwa hatua hi.Swali hili ni La Kawaida Sana , tusilichukulie Ki Usimba Na Uyanga.
Goli La huyu Mwamba Msuva Lilikuwa Fantastic ...! Lakini ile misukosuko Iliyoelekezwa Langoni Kwa Stars Sio Ya Kitoto na Manula alifanya Kazi nzuri na Ya Ziada Kufanya saves za Maana...! Hatimaye tumeibuka Washindi.
Kwako Shujaa ni Yupi?
Ukilala ukiamka unaiota CCM.Hya ni vizuri tufuze kwenye hilo kundi, ila tuombe Mungu wanasiasi wakijani wasiingilii kwa hatua hi.
Manula. Tungekula.nyingi ila.yote kwa yote tumekosa nafasi pia nyingi.kupitia samataSwali hili ni La Kawaida Sana , tusilichukulie Ki Usimba Na Uyanga.
Goli La huyu Mwamba Msuva Lilikuwa Fantastic ...! Lakini ile misukosuko Iliyoelekezwa Langoni Kwa Stars Sio Ya Kitoto na Manula alifanya Kazi nzuri na Ya Ziada Kufanya saves za Maana...! Hatimaye tumeibuka Washindi.
Kwako Shujaa ni Yupi?
AshakalishwaMungu saidia Mkongo akalishwe na Madagascar
Saves za Manula balaaMsuva kafanya vizuri, ila kwangu Manula kafanya kazi kubwa Sana tena Sana
Congratulations to him
Sasa sijui kichwa cha mwendawazimu kitaamkaje mechi zijazoAshakalishwa
Mungu atasaidia tuiombee nchi yetuSasa sijui kichwa cha mwendawazimu kitaamkaje mechi zijazo