K Kasongo JF-Expert Member Joined Jul 29, 2007 Posts 3,150 Reaction score 2,273 Oct 30, 2021 #21 Mwifwa said: Mungu saidia Mkongo akalishwe na Madagascar Click to expand... Ilitimia!
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Oct 30, 2021 #22 Kasongo said: Ilitimia! Click to expand... Ngoja tuone kama show haitabuma kama kawaida yetu
K Kasongo JF-Expert Member Joined Jul 29, 2007 Posts 3,150 Reaction score 2,273 Oct 30, 2021 #23 Mwifwa said: Ngoja tuone kama show haitabuma kama kawaida yetu Click to expand... Vijana wawe Focused kwenye mechi mbili zilizobaki.Mechi ya muhimu sana ni hii ya DRC Dar.DRC wakiwaita wacongo wanaocheza Tanzania wanaweza kutusumbua lakini wale wa Ulaya hamna kitu
Mwifwa said: Ngoja tuone kama show haitabuma kama kawaida yetu Click to expand... Vijana wawe Focused kwenye mechi mbili zilizobaki.Mechi ya muhimu sana ni hii ya DRC Dar.DRC wakiwaita wacongo wanaocheza Tanzania wanaweza kutusumbua lakini wale wa Ulaya hamna kitu
K kamwamu JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 4,521 Reaction score 3,309 Oct 30, 2021 #24 Niwaheri said: Mungu atasaidia tuiombee nchi yetu Click to expand... Watu wote huomba hivyo, Mungu hukaa pembeni wakati wa mashindano.
Niwaheri said: Mungu atasaidia tuiombee nchi yetu Click to expand... Watu wote huomba hivyo, Mungu hukaa pembeni wakati wa mashindano.
Niwaheri JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 2,994 Reaction score 4,729 Oct 31, 2021 #25 kamwamu said: Watu wote huomba hivyo, Mungu hukaa pembeni wakati wa mashindano. Click to expand... Mungu ibariki Tanzania,wewe wasema!
kamwamu said: Watu wote huomba hivyo, Mungu hukaa pembeni wakati wa mashindano. Click to expand... Mungu ibariki Tanzania,wewe wasema!