Ni nani waliongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo?

Kuna engineer hapo?

Hivi mlikuwa mamsimiskiliza mama au mnaota tu.

Mama kasema wazi hayo nadudu yameanzia hapo hapo Ikulu.

Msitake ku spin.
Kwahiyo kama yameanzia ikulu malalamiko kwenye media ya nini sasa..
 
Ofisi ya AG inahusikaje na invoice za ndege ?
 
Manunuzi ya kuanzia hela hiyo yanapitishwa na Katibu Mkuu kiongozi kwa idhini ya Rais.

Just Politics.
Mbona hajasema kuwa wamelipa hiyo pesa?
Yeye kasema kaletewa invoice ambayo iko kinyume na mkataba,walivyofatilia wakagundua invoice haijawa generated na Boieng bali imetokea Tz
 
Fukuza hao watu wote na wawekwe chini ya ulinzi vinginevyo kuwaacha huru haifai..

Itungwe Sheria mtu akiisababishia serikali hasara Mali zake zitaifishwe kufidia hasara watu ndio watakuwa na nidhamu.
 
Kwa mazingira yalivyo namba 1 wanaweza kwepa
 
Mbona hajasema kuwa wamelipa hiyo pesa?
Yeye kasema kaletewa invoice ambayo iko kinyume na mkataba,walivyofatilia wakagundua invoice haijawa generated na Boieng bali imetokea Tz

Duh kwa hiyo wana walijiundia ya kwao care of boeing?
 
Mbona hajasema kuwa wamelipa hiyo pesa?
Yeye kasema kaletewa invoice ambayo iko kinyume na mkataba,walivyofatilia wakagundua invoice haijawa generated na Boieng bali imetokea Tz
Hilo hatujalisikia, ukiongeza chumvi nyingi. Chakula hakiliki.
 
Sawa, mawazo ya kila mtu nayaheshimu.
 
Mamlaka haipaswi kuishia kulalamikia hali iloyojitokeza. Inapaswa kuchukua hatua ili kuhakikisha jambo kama hili halijirudii tena. Mwaka nenda mwaka rudi taarifa ya CAG inaeleza upotevu kama huu lakini hakuna hatua zinazochukuliwa wakati wahusika wanajulikana. Wananchi tunajiuliza kama kuna umuhimu wa kuwa na ripoti za CAG ambazo hazifanyiwi kazi kabisa.
 
Shirika la ndege la Tz alijawahi kuleta faida yoyote na hasara ya ma billion hiyo pesa ingewekezwa kwa kupeleka maji vijijini huenda maisha ya mtazania wa kawaida yange badilika.
Upumbavu wa kiwango cha degree,ni nchi gn isiyo na shirika la kwake la ndege?, watu wengine sijui mlizaliwa kwa kwa kupitia tundu gn,
 
Namba 2 hakosi
 
kasema nan kachukia ule.ni urembo.wa tv
 
Hilo Shirika la ndege ndio chaka rahisi la wapigaji wakishindwa kwenye manunuzi wanakamatisha ndege ilipe deni wanakula mgao kila mwaka CAG anakuja na hasara mbona hawalifungi waendelee na kazi zao za kukusanya kodi na kujenga madaraja kuliko hivyo kila kukicha hasara mabilioni harafu hakuna kinachoendelea ila mmetunga sheria ya kukamata wasiopokea risiti ya EFD...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…