Kwa jambo hili kama mama atabaki kulalamika tu hadharani bila kuchukua hatua basi 2025 atawapa wapinzani turufu itakayomuangusha.
Mama hatakiwi kabisa kufumbia macho uozo huo ikizingatiwa hiyo ni ela yetu sie walipa kodi wao ni watunzaji tu wa pesa yetu, hali za maisha ni ngumu sana halafu waliopewa dhamana wanaiba pesa yetu na wasichukuliwe hatua??!
Samiaagain2025 hapana mama pamoja na huruma ya "umama" katika hili na mengine ya aina hii lazima ule vichwa vya hao waliousika ili tujenge imani kwako vinginevyo hao wanakuharibia vibaya, please Mom do something as a lesson for others to learn and mantain your credibility to us.