Ni nani waliongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo?

Kuna engineer hapo?

Hivi mlikuwa mamsimiskiliza mama au mnaota tu.

Mama kasema wazi hayo nadudu yameanzia hapo hapo Ikulu.

Msitake ku spin.
Kwahiyo kama yameanzia ikulu malalamiko kwenye media ya nini sasa..
 
1: ATCL Management
2: TGFA Management
3: Ofisi ya AG
4: Ofisi ya Mlipaji Mkuu wa Serikali

Etc, hizo ofisi hawawezi kwepa hii kadhia, hizo ni fedha nyingi mnooo... Naamini hadi Mama kachukia vile, lazima kachukuza na kawaita na kujua madudu yote na upigaji wa wazi wazi, ndio maana kasema watupishe yaani wajiuzulu wao wenyewe.

Sasa wasipojiuzulu au kuachia nafasi zao, itabidi haraka Mh. Rais Mama Samia, awafukuze kazi haraka kwa barua toka Ikulu.
Ofisi ya AG inahusikaje na invoice za ndege ?
 
Manunuzi ya kuanzia hela hiyo yanapitishwa na Katibu Mkuu kiongozi kwa idhini ya Rais.

Just Politics.
Mbona hajasema kuwa wamelipa hiyo pesa?
Yeye kasema kaletewa invoice ambayo iko kinyume na mkataba,walivyofatilia wakagundua invoice haijawa generated na Boieng bali imetokea Tz
 
Mama kalalamika kwamba invoice ya mwisho ilikuwa tulipe $37,000,000 lakini ikaja invoice ya $86,000,000 ongezeko la zaidi ya asilimia 100 nje ya mkataba wa awali na mama alipohoji akaambiwa spare zimepanda bei.. Je ni nani wanaruhusu malipo ya serikali yatoke? Hawa wafuatao sahihi zao ndio zinahusika.

1. Mwanasheria Mkuu wa Serikali
2. Waziri wa fedha
3. Mlipaji Mkuu wa Serikali
4. Gavana wao BoT
5. Waziri wa Uinzi(?) Kwa vifaa vya usalama na jeshi
6. CDF (?) Kwa vifaa vya usalama na jeshi
7. Mkaguzi Mkuu wa Serikali?
8....
9....

Hiyo ndio timu na sidhani kama kuna wengine nje ya hao. Je, mama aliposema kwamba kama huko nyuma walikula hazikuwatosha.. Alimaanisha hawa ama?

Kwa nchi zinazojali utawala wa kisheria katika uhalisia wake nusu ya hao hapo juu kufikia muda huu hawakupaswa kuwepo ofisini.
Fukuza hao watu wote na wawekwe chini ya ulinzi vinginevyo kuwaacha huru haifai..

Itungwe Sheria mtu akiisababishia serikali hasara Mali zake zitaifishwe kufidia hasara watu ndio watakuwa na nidhamu.
 
1: ATCL Management
2: TGFA Management
3: Ofisi ya AG
4: Ofisi ya Mlipaji Mkuu wa Serikali

Etc, hizo ofisi hawawezi kwepa hii kadhia, hizo ni fedha nyingi mnooo... Naamini hadi Mama kachukia vile, lazima kachukuza na kawaita na kujua madudu yote na upigaji wa wazi wazi, ndio maana kasema watupishe yaani wajiuzulu wao wenyewe.

Sasa wasipojiuzulu au kuachia nafasi zao, itabidi haraka Rais Mama Samia, awafukuze kazi haraka kwa barua toka Ikulu.
Kwa mazingira yalivyo namba 1 wanaweza kwepa
 
Mbona hajasema kuwa wamelipa hiyo pesa?
Yeye kasema kaletewa invoice ambayo iko kinyume na mkataba,walivyofatilia wakagundua invoice haijawa generated na Boieng bali imetokea Tz

Duh kwa hiyo wana walijiundia ya kwao care of boeing?
 
Mbona hajasema kuwa wamelipa hiyo pesa?
Yeye kasema kaletewa invoice ambayo iko kinyume na mkataba,walivyofatilia wakagundua invoice haijawa generated na Boieng bali imetokea Tz
Hilo hatujalisikia, ukiongeza chumvi nyingi. Chakula hakiliki.
 
Asante Lihakanga kwa heshima lakini siwezi kukuchagulia upande wala siwezi kujipigia debe la heshima ama vinginevyo
Sijui kwanini mnataka kutufanya wote tuamini kwamba mwendazake alikuwa mkamilifu na hspaswi kusemwa mapungufu yake
Magu ni binadamu kama wewe na mimi.. Si mkamilifu na ana mazuri na mabaya yake
Kama kuna watu watamsema kwa mazuri yake basi kwa hakika kuna watakaomsema kwa mabaya yake.. Si vema kumgeuza kama malaika fulani asiyetakiwa kunyooshewa hata kidole

Kwangu mimi Magu ni mzuri sana kwenye ujenzi japo pia kuna mapungufu mengi ya kibinadamu yeyote anaweza kufanya.. Lakini nafasi ya urais ilikuwa kubwa kuliko uwezo wake
La wizi hili haliepukiki hata kama litafunikwa leo na kutisha wale wanaooliibua lakini kuna siku kila kitu kitawekwa wazi
Sawa, mawazo ya kila mtu nayaheshimu.
 
Mama kalalamika kwamba invoice ya mwisho ilikuwa tulipe $37,000,000 lakini ikaja invoice ya $86,000,000 ongezeko la zaidi ya asilimia 100 nje ya mkataba wa awali na mama alipohoji akaambiwa spare zimepanda bei.. Je ni nani wanaruhusu malipo ya serikali yatoke? Hawa wafuatao sahihi zao ndio zinahusika.

1. Mwanasheria Mkuu wa Serikali
2. Waziri wa fedha
3. Mlipaji Mkuu wa Serikali
4. Gavana wao BoT
5. Waziri wa Uinzi(?) Kwa vifaa vya usalama na jeshi
6. CDF (?) Kwa vifaa vya usalama na jeshi
7. Mkaguzi Mkuu wa Serikali?
8....
9....

Hiyo ndio timu na sidhani kama kuna wengine nje ya hao. Je, mama aliposema kwamba kama huko nyuma walikula hazikuwatosha.. Alimaanisha hawa ama?

Kwa nchi zinazojali utawala wa kisheria katika uhalisia wake nusu ya hao hapo juu kufikia muda huu hawakupaswa kuwepo ofisini.
Mamlaka haipaswi kuishia kulalamikia hali iloyojitokeza. Inapaswa kuchukua hatua ili kuhakikisha jambo kama hili halijirudii tena. Mwaka nenda mwaka rudi taarifa ya CAG inaeleza upotevu kama huu lakini hakuna hatua zinazochukuliwa wakati wahusika wanajulikana. Wananchi tunajiuliza kama kuna umuhimu wa kuwa na ripoti za CAG ambazo hazifanyiwi kazi kabisa.
 
Shirika la ndege la Tz alijawahi kuleta faida yoyote na hasara ya ma billion hiyo pesa ingewekezwa kwa kupeleka maji vijijini huenda maisha ya mtazania wa kawaida yange badilika.
Upumbavu wa kiwango cha degree,ni nchi gn isiyo na shirika la kwake la ndege?, watu wengine sijui mlizaliwa kwa kwa kupitia tundu gn,
 
Mama kalalamika kwamba invoice ya mwisho ilikuwa tulipe $37,000,000 lakini ikaja invoice ya $86,000,000 ongezeko la zaidi ya asilimia 100 nje ya mkataba wa awali na mama alipohoji akaambiwa spare zimepanda bei.. Je ni nani wanaruhusu malipo ya serikali yatoke? Hawa wafuatao sahihi zao ndio zinahusika.

1. Mwanasheria Mkuu wa Serikali
2. Waziri wa fedha
3. Mlipaji Mkuu wa Serikali
4. Gavana wao BoT
5. Waziri wa Uinzi(?) Kwa vifaa vya usalama na jeshi
6. CDF (?) Kwa vifaa vya usalama na jeshi
7. Mkaguzi Mkuu wa Serikali?
8....
9....

Hiyo ndio timu na sidhani kama kuna wengine nje ya hao. Je, mama aliposema kwamba kama huko nyuma walikula hazikuwatosha.. Alimaanisha hawa ama?

Kwa nchi zinazojali utawala wa kisheria katika uhalisia wake nusu ya hao hapo juu kufikia muda huu hawakupaswa kuwepo ofisini.
Namba 2 hakosi
 
1: ATCL Management
2: TGFA Management
3: Ofisi ya AG
4: Ofisi ya Mlipaji Mkuu wa Serikali

Etc, hizo ofisi hawawezi kwepa hii kadhia, hizo ni fedha nyingi mnooo... Naamini hadi Mama kachukia vile, lazima kachukuza na kawaita na kujua madudu yote na upigaji wa wazi wazi, ndio maana kasema watupishe yaani wajiuzulu wao wenyewe.

Sasa wasipojiuzulu au kuachia nafasi zao, itabidi haraka Rais Mama Samia, awafukuze kazi haraka kwa barua toka Ikulu.
kasema nan kachukia ule.ni urembo.wa tv
 
Hilo Shirika la ndege ndio chaka rahisi la wapigaji wakishindwa kwenye manunuzi wanakamatisha ndege ilipe deni wanakula mgao kila mwaka CAG anakuja na hasara mbona hawalifungi waendelee na kazi zao za kukusanya kodi na kujenga madaraja kuliko hivyo kila kukicha hasara mabilioni harafu hakuna kinachoendelea ila mmetunga sheria ya kukamata wasiopokea risiti ya EFD...
 
Back
Top Bottom