Ni nani waliongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo?

Ni nani waliongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo?

CAG hapo tumtoe. Yeye anapitisha Ile appropriation act peke yake.

Labda kukitokea Kuna supplementary budget ndo atahitajika aisaini tena.

Naamini Hela zote zinazingua consolidated fund account.

Zikishaidhinkshwa na CAG mruhusu zitoke ni Permanent Secretary to the Treasure and Paymaster General of the government!

Tuanzie kwake maana no release from the fund without his or her signature!
 
Urefu wa kamba na wingi wa asali na maziwa
JamiiForums1256179385.jpg
 
Sema mama analalamika sana na hakuna watu wakumsaidia, huwezi ukasikia kuna chombo chochote cha serikali hasa polisi au takukuru kuwa wanafanyiakazi report ya jana.Hii nchi hatutafika kamwe..yaani kuanzia JUU mpaka CHINI wote wanalalamika
 
Ila this time mbona kama wamepiga ndefu sana? Ongezeko la zaidi asilimia 100[emoji3064][emoji848][emoji2827]
Ndiyo kuna sehemu pesa ina hitajika na chama au serikali ila haina bajeti yake, kosa lao ni kuchelewa kum-brief Raisi kuhusu hilo la kuongeza pesa, lakini kwa akili za kawaida $49m haziwezi kupigwa na mtu moja ata awe Raisi mwenyewe hizo ni kama 120bn Tanzania shilling hiyo ni zaidi ya bajeti za wilaya kama mbili kwa mwaka.

Hiyo pesa ni ya chama au analipa madeni ya chama. Mwisho wa upigaji kwa mtu binasi au watu ni 1-5bn shillings ila sio 120bn.
 
Yeah kuna hazina hapa wapo kwenye list pia.. Asante kwa ufafanuzi
Hazina anasimamia umiliki wa mali za umma na mishahara ya wafanyakazi wa serikali kuu.

Kutoa Hela kwenye consolidated account iliyopo benki kuu ni kazi ya Paymaster General and Permanent Secretary to the Treasure.

Ndio maana aliwekwagwa mtoto wa mjomba kama sio shangazi.
 
Kuna baadhi ya nchi wangekamatiwa palepale ukumbini maana waliwepo wote

Tena sababu lazima walikuwepo kwenye kile kikao cha Mama, wasingeondoka, pale pale weka ndani, fukuza kazi, fungulia mashtaka ya uhujumu uchumi haraka, nadhani Mama Samia ataka awakamate wote au kawajua wachache sana kwenye hili dili kubwa mnoooo iiltaka kuibiwa serikali, labda anataka kuwajua wote ili barua ya Ikulu ikitoka atawafukuza wote kwa barua moja..

Maana toka $ 37 mil hadi $ 86 mil ni sawa na wizi wa $ 49 mil, sawa na asilimia 132% ongezeko, au fedha zetu sawa na tshs 114 bil, huu ni wizi mkubwa sana duniani kokote kule, Mama Samia has to be very very aggressive kwa hii issue, najua kachukia sana hadi kasema stupid alafu akasema tena pumbaf watupishe, mimi nadhani pamoja kachukia sana, ila awafukuze haraka sana, ni watu wengi itakuwa, hili dili ni chain ya watu, maana akisema asubiri waondoke au wajiuzulu nasema watanzania hawana hiyo tabia, watabanaa hadi waone barua ya Ikulu..

Naamini siku mbili tatu hizi, Mama atatoa baru kali sana ya kuwafukuza kazi wezi wakubwa hao na itakuwa ni wengi.
 
Ndiyo kuna sehemu pesa inahitajika na chama ila haina bajeti yake, kosa lao ni kuchelewa kum-brief Raisi kwa akili za kawaida $49 haziwezi kupigwa na mtu moja ata awe Raisi mwenyewe hizo ni kama 120bn Tz shilling hiyo ni zaidi ya bajeti za wilaya kama mbili......hiyo pesa ni ya chama.
Credit: Covax
 
Ndiyo kuna sehemu pesa ina hitajika na chama au serikali ila haina bajeti yake, kosa lao ni kuchelewa kum-brief Raisi kuhusu hilo la kuongeza pesa, lakini kwa .
Je kuna miscommunication internally?
 
Eti anawauliza hamjatosheka tuu? Huu ndio muda wa kukunjua makucha uwaonyeshe nani ni bosi tulitegemea sasa hivi hao wapumbavu wote wawepo vituo vya polisi wakijiandaa kwenda gerezani na kulipa pesa zote walizo kwapua washenzi hao
 
Eti anawauliza hamjatosheka tuu? Huu ndio muda wa kukunjua makucha uwaonyeshe nani ni bosi tulitegemea sasa hivi hao wapumbavu wote wawepo vituo vya polisi wakijiandaa kwenda gerezani na kulipa pesa zote walizo kwapua washenzi hao
Eti anawauliza hamjatosheka tuu?
Hapo sijui mama aliwaza nini maana sijawahi ona mtu aliyetosheka pesa
 
Eti anawauliza hamjatosheka tuu?
Hapo sijui mama aliwaza nini maana sijawahi ona mtu aliyetosheka pesa
Akiwauliza hivyo anawapa kichwa inabidi afanye kitu ili apate heshima hata kama ni heshima ya woga, awanyooshe hao washenzi hii imezidi sasa
 
Je kuna miscommunication internally?
Ndo hilo kabisa, just take time Raisi hata liongelea tena kamati ya public relation isha mpa briefing na kumkumbusha maamuzi yake na ushauri walio wahi kumpa.

Pale aliongea kwa jaziba tu na hasira ya kutopewa information mapema na ma aide wake.

Ila alio weza kufanya dili ya kijinga kama hiyo ni Magufuli tu kwasbb yeye alikua mbabe na arrogant sio Raisi smart kama huyu wa sasa mwenye washauri wenye uzoefu.
 
Tanzania tatizo siyo viongozi,tatizo ni sisi wananchi tumelala sana katika maswala mazima ya kuhoji, wanatuchezea sana hawa jamaa,

Magufuli alikuwa hapendwi na viongozi wenzake kwa kuwa aliwabana, EE MUNGU NAPIGA GOTI TULETEEE MAGUFULI MWINGINE.

PAMOJA NA MAPUNGUFU YAKE AMBAYO NDO YALIKUWA YANAKAMILISHA UBINAADAMU WAKE,LAKINI YULE MTU ALIKUWA ANAJUA.

Tanzania rais akiwa mpole sana wanamuonea sana hawa watu wa serikalini ,na hela wanazoiba ni za wananchi so mean hawana upendo na sisi.

Asante sana rais samia kwa kutamka haya hadharani, natamani ningekuwa na elimu ya kutosha then niwe sehemu fulani,hakika mngenyooka.

Mimi sijali kuuliwa kwani hakuna atakayebaki hapa na yoote haya ni matakataka ya dunia
 
Back
Top Bottom