Kampuni yake ya usafirishaji inaitwaje mkuu?Mwigulu Nchemba analeta mabasi mengine 100 tayari yako bandarini.
Kabla ya kodi, basi moja ni zaidi ya shilingi 300 milioni.
Pesa yote hii anapata wapi?
Ndiyo kuna sehemu pesa ina hitajika na chama au serikali ila haina bajeti yake, kosa lao ni kuchelewa kum-brief Raisi kuhusu hilo la kuongeza pesa, lakini kwa akili za kawaida $49m haziwezi kupigwa na mtu moja ata awe Raisi mwenyewe hizo ni kama 120bn Tanzania shilling hiyo ni zaidi ya bajeti za wilaya kama mbili kwa mwaka.Ila this time mbona kama wamepiga ndefu sana? Ongezeko la zaidi asilimia 100[emoji3064][emoji848][emoji2827]
Hazina anasimamia umiliki wa mali za umma na mishahara ya wafanyakazi wa serikali kuu.Yeah kuna hazina hapa wapo kwenye list pia.. Asante kwa ufafanuzi
Kuna baadhi ya nchi wangekamatiwa palepale ukumbini maana waliwepo wote
Manina zaoUrefu wa kamba na wingi wa asali na maziwaView attachment 2570560
Eti anawauliza hamjatosheka tuu?Eti anawauliza hamjatosheka tuu? Huu ndio muda wa kukunjua makucha uwaonyeshe nani ni bosi tulitegemea sasa hivi hao wapumbavu wote wawepo vituo vya polisi wakijiandaa kwenda gerezani na kulipa pesa zote walizo kwapua washenzi hao
Akiwauliza hivyo anawapa kichwa inabidi afanye kitu ili apate heshima hata kama ni heshima ya woga, awanyooshe hao washenzi hii imezidi sasaEti anawauliza hamjatosheka tuu?
Hapo sijui mama aliwaza nini maana sijawahi ona mtu aliyetosheka pesa
Ndo hilo kabisa, just take time Raisi hata liongelea tena kamati ya public relation isha mpa briefing na kumkumbusha maamuzi yake na ushauri walio wahi kumpa.Je kuna miscommunication internally?