Ni nani waliongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo?

Hii haiwezi kumpa bad impact kisiasa kwa wananchi? Kuonekana hachukui hatua kwa tatizo la wazi kama hilo? Mbona kama kajiweka mtegoni?
 
Jaribu kusoma replies za Covax .. Situation is different in the ground
 
Mkuu sio kwamba Raisi Magufuli alikua mbaya, ila ndo aliongoza kwa kufanya ubadilifu hata bila kuficha unakumbuka 1.5tn shilling alio potea akatanjwa na CAG hata alishindwa kujitetea, pesa alio tumia Chato ilikua nje ya bajeti ya serikali Magufuli alikua mwizi asio penda kuiba na wenzie.
 
Mwin
Mwigulu chemba, akaongezea kwenye ununuzi wa mabasi Yake ya Ester.
 
Magufuli alikua mwizi asio penda kuiba na wenzie.[emoji2827]
 
Wapo wenye tenda za kununua vifaa vya serikali.

Kampuni zao hao hao huku juu.

Watakuwa ni wale wale walionunua yale mabehewa yaliyofungiwa kwenye mifuko ya sandurusi.
yale mabehewa yaliyofungiwa kwenye mifuko ya sandurusi.[emoji23]
Kuna ile ya ukarabati wa kivuko kwa bilion saba wakati kipya ni bilion 9
 
Wanamchukulia poa sana.

Ila kama kweli typo serious aanze na yule mkubwa wao amtie discipline wengine wote watarudi nyuma na kuona anamaanisha.
 
Kilichotokea sio tu ni Wizi bali ni dharau ya moja kwa moja kwa mamlaka....ni mfano wa mtu anayekuvamia kwako anakuibia alafu ana mbaka mkeo au mwanao..........

Wizi huu mkubwa una dharau kubwa nyuma yake dhidi ya mamlaka.....nadhani watendaji wameshajua udhaifu wa mamlaka na hawaiogopi......yaani hata kwa akili ya kawaida tu..mfuko wa sementi umeona bei yake ni 15,000/= lakini unaletewa kuwa unatakiwa ulipie 50,000/= na wewe unalipa.......
 
Kuna kaka yake mama tuliambiwa yeye ndiye baba wa Mikataba, au bado yupo chini ya uchunguzi?

Na hili nalo itabidi mkaliangalie...'Styupidi' (Styupidi itamkwe taratibu na kwa upole sana)
 
Ifike mahali mama aache kulalama badala yake achukue hatua sasa. Yeye ndiyo amiri jeshi mkuu, yeye ndiyo mwenye dola, kamata wote weka ndani huku uchunguzi ukiendelea. Atakayebainika filisi mali rudisha hela serikalini iwe fundisho kwa wengine
Ni kiu yetu kuona hatua watakazochukuliwa wahusika kama sio kufurushwa wanaweza kuburuzwa hata rumande. Rais ameonesha kuikubali ripoti ya CAG hivyo anaitaji msaada wa kimedani maana inaonesha haya mambo yana mtiririko mrefu sana.
 
Ingefaa sheria ziwe reviewed watu wa aina hiyo wawe wanahukumiwa na jamii iliyoporwa kodi zao kama wanavyofanyiwa wezi wa kuku na mbuzi
 
Na wenyewe ndio wanasaka hela ya 2025 general election,kwa chama na wenyewe binafsi. Subiri utaona kama fagio litapita na mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…