Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kwa nini tusihanikize wawajibishwe?!Tunajua ndugu, sie sio wajinga kama unavyo dhani
Nchi zetu hizi ni balaa tupu.Nakumbuka kipindi hicho wabunge wa upinzani wakiongozwa na Tundu Lissu na John Mnyika walipinga kweli kweli kupitishwa kwa ule muswada wa sheria kuhusu hiyo gesi ya Mtwara, kwa kutumia hati ya dharura! Tena usiku wa manane!
Ila cha kushangaza, wabunge wa ccm walikuwa wanagonga tu meza kwa furaha! Na JPM alikuwa ni mmoja ya hao wabunge, na pia Waziri. Wananchi wa Mtwara walipigwa mpaka mabomu!
Matokeo yake ndiyo haya sasa. Gesi ya Mtwara ni mali ya mabeberu.
Tunajua ndugu, sie sio wajinga kama unavyo dhani
Nakumbuka kipindi hicho wabunge wa upinzani wakiongozwa na Tundu Lissu na John Mnyika walipinga kweli kweli kupitishwa kwa ule muswada wa sheria kuhusu hiyo gesi ya Mtwara, kwa kutumia hati ya dharura! Tena usiku wa manane!
Ila cha kushangaza, wabunge wa ccm walikuwa wanagonga tu meza kwa furaha! Na JPM alikuwa ni mmoja ya hao wabunge, na pia Waziri. Wananchi wa Mtwara walipigwa mpaka mabomu!
Matokeo yake ndiyo haya sasa. Gesi ya Mtwara ni mali ya mabeberu.
Teh teh,muswaada waliupitisha wenyewe,sahv wanabaki kulialia tuNakumbuka kipindi hicho wabunge wa upinzani wakiongozwa na Tundu Lissu na John Mnyika walipinga kweli kweli kupitishwa kwa ule muswada wa sheria kuhusu hiyo gesi ya Mtwara, kwa kutumia hati ya dharura! Tena usiku wa manane!
Ila cha kushangaza, wabunge wa ccm walikuwa wanagonga tu meza kwa furaha! Na JPM alikuwa ni mmoja ya hao wabunge, na pia Waziri. Wananchi wa Mtwara walipigwa mpaka mabomu!
Matokeo yake ndiyo haya sasa. Gesi ya Mtwara ni mali ya mabeberu.
Ndio ile mzee pinda aliamrishwa wapigwe tu nini?Nakumbuka kipindi hicho wabunge wa upinzani wakiongozwa na Tundu Lissu na John Mnyika walipinga kweli kweli kupitishwa kwa ule muswada wa sheria kuhusu hiyo gesi ya Mtwara, kwa kutumia hati ya dharura! Tena usiku wa manane!
Ila cha kushangaza, wabunge wa ccm walikuwa wanagonga tu meza kwa furaha! Na JPM alikuwa ni mmoja ya hao wabunge, na pia Waziri. Wananchi wa Mtwara walipigwa mpaka mabomu!
Matokeo yake ndiyo haya sasa. Gesi ya Mtwara ni mali ya mabeberu.
Aliyeiuza Gas ni yule yule aliyepeleka kwa Hati ya Dharura muswada wa Sheria ya Gas na Mafuta ikapitishwa usiku wa manane.Haihitaji utaalamu mwingi kufahamu hilo,CCM wameshaliuza Taifa letu na watu wake.Vipo vitu Nchi hii ukivifikiria hakika unaona wazi vinaaksi ujinga wetu na kwayo ndiposa Viongozi wetu huwa wanautumia uzwazwa wetu kutupiga.
Mfano hilo la gesi ya Mtwara, kwa mjibu wa Hayati Rais Magufuli Tanzania haina chake kwenye gesi yetu wenyewe na alitueleza bayana wajanja walishatupiga.
Kwa umburula wetu huo huo wala hatukujishughulisha kutaka kufahamu ni nani hasa aliyeiuza gesi yetu!View attachment 2359410
Akisaidiana na waliopo ndani ya utawala kwa sasa.Wengi wa Wabunge waliohusika bado wapo wanapitisha na kubariki Tozo zaidi kwa Watanganyika.Kwa hiyo unataka kusema ni mstaafu...