Ni nani waliuza gesi yetu ya Mtwara?!

Ni nani waliuza gesi yetu ya Mtwara?!

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Vipo vitu Nchi hii ukivifikiria hakika unaona wazi vinaaksi ujinga wetu na kwayo ndiposa Viongozi wetu huwa wanautumia uzwazwa wetu kutupiga.

Mfano hilo la gesi ya Mtwara, kwa mjibu wa Hayati Rais Magufuli Tanzania haina chake kwenye gesi yetu wenyewe na alitueleza bayana wajanja walishatupiga.

Kwa umburula wetu huo huo wala hatukujishughulisha kutaka kufahamu ni nani hasa aliyeiuza gesi yetu!
jakayakikwete~p~Bgx5urEgtxn~1.jpg
 
Nakumbuka kipindi hicho wabunge wa upinzani wakiongozwa na Tundu Lissu na John Mnyika walipinga kweli kweli kupitishwa kwa ule muswada wa sheria kuhusu hiyo gesi ya Mtwara, kwa kutumia hati ya dharura! Tena usiku wa manane!

Ila cha kushangaza, wabunge wa ccm walikuwa wanagonga tu meza kwa furaha! Na JPM alikuwa ni mmoja ya hao wabunge, na pia Waziri. Wananchi wa Mtwara walipigwa mpaka mabomu!

Matokeo yake ndiyo haya sasa. Gesi ya Mtwara ni mali ya mabeberu.
 
Nchi zetu hizi ni balaa tupu.

Hivi how much is enough for them?

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
HaRafu ndiye akawa mhubiri wa uzaRendo!
Nakumbuka kipindi hicho wabunge wa upinzani wakiongozwa na Tundu Lissu na John Mnyika walipinga kweli kweli kupitishwa kwa ule muswada wa sheria kuhusu hiyo gesi ya Mtwara, kwa kutumia hati ya dharura! Tena usiku wa manane!

Ila cha kushangaza, wabunge wa ccm walikuwa wanagonga tu meza kwa furaha! Na JPM alikuwa ni mmoja ya hao wabunge, na pia Waziri. Wananchi wa Mtwara walipigwa mpaka mabomu!

Matokeo yake ndiyo haya sasa. Gesi ya Mtwara ni mali ya mabeberu.
 
Nakumbuka kipindi hicho wabunge wa upinzani wakiongozwa na Tundu Lissu na John Mnyika walipinga kweli kweli kupitishwa kwa ule muswada wa sheria kuhusu hiyo gesi ya Mtwara, kwa kutumia hati ya dharura! Tena usiku wa manane!

Ila cha kushangaza, wabunge wa ccm walikuwa wanagonga tu meza kwa furaha! Na JPM alikuwa ni mmoja ya hao wabunge, na pia Waziri. Wananchi wa Mtwara walipigwa mpaka mabomu!

Matokeo yake ndiyo haya sasa. Gesi ya Mtwara ni mali ya mabeberu.
Teh teh,muswaada waliupitisha wenyewe,sahv wanabaki kulialia tu

Ova
 
That is the only simple and soft error which tarnishes his adminstration. You can not compare with horrific and barbaric mistakes (torture, extortion, kidnapping and killing) that were committed by his successor.
 
Nakumbuka kipindi hicho wabunge wa upinzani wakiongozwa na Tundu Lissu na John Mnyika walipinga kweli kweli kupitishwa kwa ule muswada wa sheria kuhusu hiyo gesi ya Mtwara, kwa kutumia hati ya dharura! Tena usiku wa manane!

Ila cha kushangaza, wabunge wa ccm walikuwa wanagonga tu meza kwa furaha! Na JPM alikuwa ni mmoja ya hao wabunge, na pia Waziri. Wananchi wa Mtwara walipigwa mpaka mabomu!

Matokeo yake ndiyo haya sasa. Gesi ya Mtwara ni mali ya mabeberu.
Ndio ile mzee pinda aliamrishwa wapigwe tu nini?
 
Vipo vitu Nchi hii ukivifikiria hakika unaona wazi vinaaksi ujinga wetu na kwayo ndiposa Viongozi wetu huwa wanautumia uzwazwa wetu kutupiga.

Mfano hilo la gesi ya Mtwara, kwa mjibu wa Hayati Rais Magufuli Tanzania haina chake kwenye gesi yetu wenyewe na alitueleza bayana wajanja walishatupiga.

Kwa umburula wetu huo huo wala hatukujishughulisha kutaka kufahamu ni nani hasa aliyeiuza gesi yetu!View attachment 2359410
Aliyeiuza Gas ni yule yule aliyepeleka kwa Hati ya Dharura muswada wa Sheria ya Gas na Mafuta ikapitishwa usiku wa manane.Haihitaji utaalamu mwingi kufahamu hilo,CCM wameshaliuza Taifa letu na watu wake.
Aliyetuuza naye katapeliwa na wanunuzi,hana tena cha kuuza amebaki kujinyonya damu yake mwenyewe ili asifariki.
Tukishaandika Katiba Mpya ya Wananchi tutalikomboa Taifa letu kutoka kwa wanunuzi matapeli.
 
Huu Uzi unataka kufungua kuona nyeti za kuku kwa kumgusa direct BT na kundi lake hakika nasema watu hawata changia huu Uzi kilicho tokea kwa Yoga sote ni mashaidi
 
Back
Top Bottom