The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Umezipitia lini mkuu au na wewe ni mnufaika w kuporomoka kwa shule hizo, maana si kwa utetezi huu!!Shule ya Wazazi Meta, Mbalizi sec na Sangu pia Ivumwe zinafanya vizuri academically kwa huku Mbeya. Sijajua hizo Dumila za Morogoro.
Hata shujaa kwa miaka yake 5 hakusovu hizo chalenji?Nimepita kwenye shule mbili za jumuiya ya wazazi CCM hapa mkoani mbeya yaani Meta sc na Sangu SC, ambazo kwa miaka ya nyuma zilisifika na kutukuka kwa kufanya vizuri sana na kuvutia watu wengi ndani na nje ya nchi.
Kilichonisikitisha ni namna shule hizi zilivyotafunwa na uongozi mbovu na kila aina ya uozo ambao umezifanya hizo shule kuporomoka vibaya sana.
Niliongea na baadhi ya waalimu wanalalamika kwamba kila kiongozi anayejaribu kuja kutatua changamoto za shule hizo, anatishwa na kunyamazishwa.
Waalimu na watumishi wengine wa hizo shule Wana madai mengi sana na kusema kweli wamekata tamaa ila cha ajabu ni kwamba hakuna anayethubutu kutatua kero zao!
Unaambiwa alienda bashiru pale akiwa katibu mkuu akaishia kuchimba bit hakusolve chochote. Tulia naye akajifanyafanya hapo nae akatulizwa inaoneokana kuna nguvu isiyo ya kawaidaHata shujaa kwa miaka yake 5 hakusovu hizo chalenji?
Wewe acha porojo hizi shule Zina Hali mbaya sanaShule ya Wazazi Meta, Mbalizi sec na Sangu pia Ivumwe zinafanya vizuri academically kwa huku Mbeya. Sijajua hizo Dumila za Morogoro.
Juzi kati tu hapa. Sema Nini ukisema shule zote zimeporomoka naweza kutataa ila ukisema baadhi ya shule naweza kukubali.Umezipitia lini mkuu au na wewe ni mnufaika w kuporomoka kwa shule hizo, maana si kwa utetezi huu!!
Ongeza na UDALALI ULIOTUKUKA miradi ya REA phase 3. Ni kichefuchefu. Ila huwa najiuliza JEURI ya watu aina hii "kubaka" haki, .. rushwa ni adui mkuu wa haki... wanaupata wapi. Au tuamini ya kwamba "GODFATHER" wa kudumu yupo na akipata mrabaha wake wabakaji wanapeta tu?Bulembo huyo
Ndugu sio kificho pale mbeya mjini hakuna mwenye ubavu wa kufanya lolote kwenye shule hizi labda aje mwenyekiti taifa zimeandikwa barua nyingi za malalamiko lakini hakuna mwenye ubavu wa kuzitatuaJuzi kati tu hapa. Sema Nini ukisema shule zote zimeporomoka naweza kutataa ila ukisema baadhi ya shule naweza kukubali.
Rafiki angu, Kuna kitu kidogo Sana tumetofautiana. Kwanza Mimi binafsi Sina historia kamili za ubora wa hizi shule hapo awali japo shule kama Sangu ilikuwa maarufu Sana zamani,Hata meta pia.Kwa Sasa zinatembelea umaarufu wa zamani.Ndugu sio kificho pale mbeya mjini hakuna mwenye ubavu wa kufanya lolote kwenye shule hizi labda aje mwenyekiti taifa zimeandikwa barua nyingi za malalamiko lakini hakuna mwenye ubavu wa kuzitatua
Mkuu kwa Bahati nzuri nilisoma shule inayomilikiwa na CCM inaitwa Nyangao Secondary School inapatikana jimbo la Mtama Mkoani Lindi.Nimepita kwenye shule mbili za jumuiya ya wazazi CCM hapa mkoani mbeya yaani Meta sc na Sangu SC, ambazo kwa miaka ya nyuma zilisifika na kutukuka kwa kufanya vizuri sana na kuvutia watu wengi ndani na nje ya nchi.
Kilichonisikitisha ni namna shule hizi zilivyotafunwa na uongozi mbovu na kila aina ya uozo ambao umezifanya hizo shule kuporomoka vibaya sana.
Niliongea na baadhi ya waalimu wanalalamika kwamba kila kiongozi anayejaribu kuja kutatua changamoto za shule hizo, anatishwa na kunyamazishwa.
Waalimu na watumishi wengine wa hizo shule Wana madai mengi sana na kusema kweli wamekata tamaa ila cha ajabu ni kwamba hakuna anayethubutu kutatua kero zao!