Ni nchi gani naweza kwenda kusaka kibarua chochote?

nicas16

Member
Joined
May 29, 2024
Posts
39
Reaction score
70
Habari za majukumu wakuu,

Najua ngumu watu kukupa njia ya mafinikio ila najua wapo wanaoweza kunipa.

Nimejaribu kutafuta uzi wa kwenda nchi jirani kusaka vibarua ila naona wengi waliuliza tu namna yakufanya biashara uko kumaanisha kuwa wako vizur kiuchumi.

Mi niko tofauti sina changu nilichonacho kwenye nchi hii hadi mifukoni mwangu.

Msaada sasa ni nchi gani naweza enda saka kibarua chochote nikishapata mtaji ndo niwaze ya biashara.

NB. Ntajibu comments zote hata zile mbaya
 
Tanzania ni sehemu sahii, ebu kaa chini jiulize hivi hapa Tz hamna mkoa ambao uko open sana kwenye fursa au vibarua chakunipatia mtaji..
Kuwaza mbali wakati unaweza fanya maamuzi sahii ukiwa hapa hapa Tz ni kujichanganya tu
 
Nipe code kaka mkoa gani naweza pata kibarua chakuipa mtaji mi kuwaza nimeshindwa mana nikiwaza stopata majib halisia
Nipe connection
 
Songea, kuna hekari zaid 100 ..mwezi huu watu wameanza vuna mpaka mwez wanane mambo yanaisha ..mwezi watisa mashamba washaanza safisha ..hivyo unaweza kaa mpaka mwez wa kwanza ukawa tayari nakamtaji kako maana kazi haziishi mwaka mzima kula kulala juu ya boss hivyo ninguvu NAafya yako nakazi mara nyingi wajisimamia
Huku unakomaa kwaboss unakod hata hekari moja ukalima maharage au viazi
 
Kaz za shamba wanalipa bei gan kwa mwez au
Ili nipate na ela ya kukod shamba nakugharamikia mbegu na mbolea na ela ya mm kuniwezsha kuishi
 
Yeye anataka zile za town..mambo ya kulima lima hayataki..! 🤣
 
Kaz za shamba wanalipa bei gan kwa mwez au
Ili nipate na ela ya kukod shamba nakugharamikia mbegu na mbolea na ela ya mm kuniwezsha kuishi
Msimu wakuvuna kwasiku ni elf 5 mpaka 7
Msimu kusafisha maelewano kwaplot
Msimu wakulima ..unakata kata Fukutu kwenye eneo ambalo ng'ombe wanaolimishwa wamepita Mara ya kwanza ..
Mda wakupanda unarusha Mbegu sehem anayopita ng'ombe elfu 5 mpaka saa 7 mwsho hapo unaweza jichanganya nakaz nyngine
Kuna kupiga dawa kama unaweza kila hekari ni elfu 10..
Kutia mbolea kwasiku elfu 5 mpka 7
Kubeba kwajil ya dawa ni elfu 7 kwasiku
..yote yakiisha unakuja msimu wa kulinda ngedere kwamwez ni elfu 70 mpka laki makubaluano mbwa wakutosha wapi..
..hiyo mpaka msimu tena wamavuno...hivyo nimzunguko
Kazi nyingi wafanyakaz wanajisimamia wenyewe
 
Shamba kukod inaanza elf 30 ..mbegu yamaharage ni elfu 10 kindoo hekari uingia vindoo 6 mpka 7 maximum.. viaz mbegu uanzia 20elfu miez mitatu tu hivyo ukikod unalima mara mbili kuvuna mwez wapili kwenda watatu
Unapenda tends kuvuna mwez wasita
Kuna maeneo mbolea si sana nakama ni mbolea kwamazo hayo hata mfumo mmoja haumalizi

Hapa nilipo saiz tu kilo inakimbia mpka 3400 maharage..huku maind hali sishwari kilo 350 mpka 400
 
Songea, kuna hekari zaid 100 ..mwezi huu watu wameanza vuna mpaka mwez wanane mambo yanaisha ..mwezi watisa mashamba washaanza safisha ..hivyo unaweza kaa mpaka mwez wa kwanza ukawa tayari nakamtaji kako maana kazi haziishi mwaka mzima kula kulala juu ya boss hivyo ninguvu NAafya yako nakazi mara nyingi wajisimamia
Huku unakomaa kwaboss unakod hata hekari moja ukalima maharage au viazi
Kwenye mahindi hakuna Hela sana mwambie aanzie mbeya ubaruka kama ana nguvu Kisha ndo aende songea then akitoka songea arudi njombe au mafinga
 
Back
Top Bottom