ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Habari wakuu
Mada hapo juu yahusika..Binafsi ukiacha Tanzania nchi zifuatazo napenda kuishi mazima
1.Canada,
Naipenda tuu kwa kuwa huwa sisikii matukio yoyote ya ubaguzi kuuana vurugu za kisiasa nk.Kiufupi napenda sana Canada hata uchumi uko stable
2.Australia
Hii nayo ina sifa kama za Canada lakini ina resources nyingi sana kuliko idadi ya watu na sijawahi sikia majanga yakiwemo Matetemeko
3.Malaysia
Hii naipenda tuu
4.Sweden
Hii ni nchi tulivu nzuri na tajiri,nikiishi huko na mimi ntakuwa tajiri
5.Ethiopia
Licha ya vurumai za ugumu wa maisha nchini Ethiopia naipenda kwa vile ina mademu wakali
6.Cape Verde
Hii nayo naipenda sababu ya watoto wakali yaani wale mulatoes au shombeshombe
Na wewe tupia nchi unazozipenda kuishi nje ya Tzn na sababu za kuzichagua.