Ni nchi zipi ungependa uishi tofauti na Tanzania?

Ni nchi zipi ungependa uishi tofauti na Tanzania?

Hakufai kule.Nimeishi miaka 13 nimerudi na nguo albamu ya picha nilizopiga na mademu wao Mto Yamuna,Taji Mahal,Agraa,Mumbai na Mtaa wa Arakashan karibu na station kuu ya reli New Delhi.

Bora mara 70 ukae Tz utaurahia maisha zaidi ya huko.

Yale yalee..ahahha shikamoo Bongo!hubby alienda India anakuambia kitoto kidg kinamiliki kampuni ..tena ni mtoto smart sana wamespecialize sn...yaan km kasoma IT uwi anajua kila kitu .unaambiwa mtu anakod kaframe kadoogo ndo kampuni tayari...sie tumewaachia kina Lugumi wazee wale..duh.kweli Tz tumelaanika kbs
 
Mkuu vipi umeacha watoto wangapi kule India,maana huku hatuwapati mademu wa kidosi ili tuwanywee mkuyati.
Nalog off
 
Yale yalee..ahahha shikamoo Bongo!hubby alienda India anakuambia kitoto kidg kinamiliki kampuni ..tena ni mtoto smart sana wamespecialize sn...yaan km kasoma IT uwi anajua kila kitu .unaambiwa mtu anakod kaframe kadoogo ndo kampuni tayari...sie tumewaachia kina Lugumi wazee wale..duh.kweli Tz tumelaanika kbs
Kumbe wako vizuri kwenye IT ? natamani nichukue online course kutoka India ili nitumie akili badala ya nguvu
Nalog off
 
Mkuu australia mafuriko kila kukicha ila ni kuzuri wale jamaa wana maisha kama waingereza na qeen nazani anatawala hadi kule mi nchi nnayoipenda ni JAPAN vijijini kwa sababu ya NATURE wametunza sana mazingira
Aiseeeeh ata mm napenda sana japan maeneo ya vijijini sijui kwa nn napenda
 
..zanzibar... wao wana serikali yao na hawafungamani na Nchi ya Tanzania
 
Habari wakuu
Mada hapo juu yahusika..Binafsi ukiacha Tanzania nchi zifuatazo napenda kuishi mazima
1.Canada,
Naipenda tuu kwa kuwa huwa sisikii matukio yoyote ya ubaguzi kuuana vurugu za kisiasa nk.Kiufupi napenda sana Canada hata uchumi uko stable
2.Australia
Hii nayo ina sifa kama za Canada lakini ina resources nyingi sana kuliko idadi ya watu na sijawahi sikia majanga yakiwemo Matetemeko
3.Malaysia
Hii naipenda tuu
4.Sweden
Hii ni nchi tulivu nzuri na tajiri,nikiishi huko na mimi ntakuwa tajiri
5.Ethiopia
Licha ya vurumai za ugumu wa maisha nchini Ethiopia naipenda kwa vile ina mademu wakali
6.Cape Verde
Hii nayo naipenda sababu ya watoto wakali yaani wale mulatoes au shombeshombe
Na wewe tupia nchi unazozipenda kuishi nje ya Tzn na sababu za kuzichagua.
BRUNEI 🇧🇳 & DJIBOUTI 🇩🇯
 
Hakufai kule.Nimeishi miaka 13 nimerudi na nguo albamu ya picha nilizopiga na mademu wao Mto Yamuna,Taji Mahal,Agraa,Mumbai na Mtaa wa Arakashan karibu na station kuu ya reli New Delhi.

Bora mara 70 ukae Tz utaurahia maisha zaidi ya huko.
Tehtehteh...ulitaka urudi na nini kaka?
 
Back
Top Bottom