Ni nchi zipi ungependa uishi tofauti na Tanzania?

Ni nchi zipi ungependa uishi tofauti na Tanzania?

Somalia,Syria,Afghanistan, Yemen yani napenda sana hizi Nchi cz napenda sana kupigana pigana na mabunduki na mafataki

Hata mimi napendelea nchi zenye vita kwa sababu fursa huwa nyingi za biashara
Ila sio kupigana bali kufanya biashara ya uhakika kama kuwahudumia wakimbizi kwa tenda ya UNHCR
 
Labda kiburi cha fedha ila wewe nenda Rwanda ukawaone ni watu wa kawaida tu..fedha nyingi hubadilisha tabia za watu katika mataifa karibia yote.


Ntaenda dec..iko kwa ratiba tayari!...ik watz tumezid sana ukarimu ndo maana hatuendelei
 
Habari wakuu
Mada hapo juu yahusika..Binafsi ukiacha Tanzania nchi zifuatazo napenda kuishi mazima
1.Canada,
Naipenda tuu kwa kuwa huwa sisikii matukio yoyote ya ubaguzi kuuana vurugu za kisiasa nk.Kiufupi napenda sana Canada hata uchumi uko stable
2.Australia
Hii nayo ina sifa kama za Canada lakini ina resources nyingi sana kuliko idadi ya watu na sijawahi sikia majanga yakiwemo Matetemeko
3.Malaysia
Hii naipenda tuu
4.Sweden
Hii ni nchi tulivu nzuri na tajiri,nikiishi huko na mimi ntakuwa tajiri
5.Ethiopia
Licha ya vurumai za ugumu wa maisha nchini Ethiopia naipenda kwa vile ina mademu wakali
6.Cape Verde
Hii nayo naipenda sababu ya watoto wakali yaani wale mulatoes au shombeshombe
Na wewe tupia nchi unazozipenda kuishi nje ya Tzn na sababu za kuzichagua.
Mimi napeta Comoro ,hapo kuna rais ni kanali yeye katika uongozi wake kipaumbele kikubwa ni kukaa madarakani milele(afrika)
 
Hii mada wangepewa wakenya vs watz watoe sababu mngeona ni wap kuna ombwe la elimu...hahah tupo tu tumerelax hatufikirii zaidi ..lol..hapa mkenya angeshatuma had fedha za nchi husika...angeshajua exchange rate yao..angeshajua GDP ya nchi husika.[emoji28][emoji28]!sisi tumekalia petty issues...!..mwe!mm ntabaki hapa hapa Tz na kina mzee Mangula tule wote keki ya taifa[emoji6]
Una akili nyingi sana!
 
Huyo hubby wako alikudanganya. India haijui vizuri
Yale yalee..ahahha shikamoo Bongo!hubby alienda India anakuambia kitoto kidg kinamiliki kampuni ..tena ni mtoto smart sana wamespecialize sn...yaan km kasoma IT uwi anajua kila kitu .unaambiwa mtu anakod kaframe kadoogo ndo kampuni tayari...sie tumewaachia kina Lugumi wazee wale..duh.kweli Tz tumelaanika kbs
 
Kwa kuishi Ningependa hizi sehemu.

1. Peru- Machupicchu. ( Pure nature and tranquility).

2. Brazil- Pantanal ( Pure nature and culture).

3. Tibet ( Culture and nature)

4. Mongolia ( Culture and nature).

5. Bahamas ( Bata)

6. Islamabad, Peshawar , Riyadh , Abu Dhabi, Bahrain and Doha ( Culture and espionage).
 
Hebu kamilisha kipenzi..siku ile ile nilopomaliza kuongea na ww nikaangusha simu usk..!kurudisha line ndo kimbembe!am happy too to see u again!basi tu hujaamua😅!
Ooh pole mpenzi nitakucheck yani plan haijawahi kutoka kichwani na nimepania sana nadhani ndio maana kunakuwa na obstacles,mambo yalipandiana lakini Nov Mungu jalia. Nitakupigia tuongee
 
Sijawahi toka nnje ya hii nchi TZ

natamanije sehemu ambazo naziona kwa pcha au kuzisikia?

ntafia TZ japo kabla ya kufa nahamu sana kuingia USA na ISRAEL japo tu nikaone

hizo nchi zikoje koje....
 
Back
Top Bottom