Ni nchi zipi ungependa uishi tofauti na Tanzania?

Ni nchi zipi ungependa uishi tofauti na Tanzania?

Mimi binafsi ndoto yangu ni kwenda Colombia kama mtalii nifike mahali alipozikwa Pablo Escobar na nitembelee hacienda

Nikitoka hapo nipitie kale kanchi alikotawala jamaa wakuitwa Noriega

Nikwee pipa mpka state USA nitembelee kaburi LA tupac na big

Njian nikirudi afrika nipitie Zimbabwe na south kwa madiba na mugabe

Nikitua bongo moja kwa moja kwa filipunjombe na nyerere

Hayo maeneo nimetokea kuyapenda kwa kuwa yana hawa watu nilowataja
Ukienda Colombia ubebe na mkuyati utakula mademu mpaka uchoke
 
downloadfile.png
 
Ntaenda dec..iko kwa ratiba tayari!...ik watz tumezid sana ukarimu ndo maana hatuendelei
Sisi pia tuna ishu zetu haswa ukienda Zanzibar ila hakuna ati0
Taja uzuri wa nchi ya burundi mkuu ili tupate mwanga na kujua tusiyoyajua.
Mimi nimewahi kupitia njia ya Kobero Muyinga Ngozi Kayanza Bujumbura kwenye Fukwe za Tanganyika Mazingira na jiografia yao ni nzuri kwelkweli.
Mimi wakati naingia Burundi kwa mara ya kwanza niliipenda ghafla Bwiza Buyenzi Amstel beer na watoto wa Kimanyema Kihutu na Kitutsi
 
Endeleeni kupenda......lakini tutaishi hapahapa wote.....Hakuna mtu kutoka kuacha wenzie.......mpambano ni huu huu shubaaaaamit.......
Mbona mimi na katoke tumetoka kiulainiiiii
 
Back
Top Bottom