Ni nchi zipi ungependa uishi tofauti na Tanzania?

Ni nchi zipi ungependa uishi tofauti na Tanzania?

Nature tu inakufanya unaisaliti nchi yako mkuu?mbona sababu zenu naona nyepesi sana?[emoji28]..kwan hapa Tz hakuna mikoa yeny nature?Lushoto?Arusha je?Iringa je?..Mbeya na Bukoba?
[emoji28][emoji28][emoji28]!
Hapa kwetu tatizo sera zinazotawala. U communist haujawahi kuiacha nchi yeyote duniani salama . Kama nadanganya nisutwe [emoji87][emoji120]
 
USA | The Land Of Freedom & Opportunities !

Ukiwa Mmarekani Tayari Wewe Ni Mbabe.

Kwanza Ukitembea Na Passport Ya Maandishi Matatu USA unatembea kibabe.

- Ukija Hata Bongo Wakikugusa, Trump Anatoa Tamko Kaliiii.

- USA Is a Country Where Immigrants can Easily Become Billionnaires ( USD )

- Trump Mwenyewe Akikuzingua Unampa Onyo Kaliii.

- Na Akikasirika Hana Cha Kukufanya Zaidi Ya Kubaki Kulialia Tu Huko Twitter.

#USA
 
Ooh pole mpenzi nitakucheck yani plan haijawahi kutoka kichwani na nimepania sana nadhani ndio maana kunakuwa na obstacles,mambo yalipandiana lakini Nov Mungu jalia. Nitakupigia tuongee


Naelewa sana changamoto za kina mama!pole sn
 
Brunei- fursa ni nyingi

Israel- sababu ya vita hawana time na mweusi unaweza fanya mambo yako vizuri
King dom of Lesotho- pametulia

New zealand-
El salvadol

st Helena island

Den mark

USA

Mayote- wanaongea kiswahili kuna fursa pia ni karbu na Mkoani kwetu, nachepuka tu nafika kijijini.

Kenya-Nairobi daah!
Eritrea- dah videmu bana
Botswana
Equqatorial guinea duuu!
Yemen- sababu ya vita
 
napenda nchi yoyote ambyo ipo ukanda wa ikweta kwenye mvua nyingi mfano.Brazil, hakuna hata ubaguzi na maniga wapo wengi wakiongozwa na njomba pele

singapore=amani
visiwa vya tonga=amani
 
Australia nchi moja matata sana. Ila sasa hawa ndugu zetu toka Uarabuni ndo wanatishia amani kule. Ila ukiingia vijijini kweli maisha ni matamu balaa. Hutaki kusikia Bongo land. Ila hiki kiangazi cha huku nacho ni balaa. Mimoto kila kukicha
 
Brunei- fursa ni nyingi

Israel- sababu ya vita hawana time na mweusi unaweza fanya mambo yako vizuri
King dom of Lesotho- pametulia

New zealand-
El salvadol

st Helena island

Den mark

USA

Mayote- wanaongea kiswahili kuna fursa pia ni karbu na Mkoani kwetu, nachepuka tu nafika kijijini.

Kenya-Nairobi daah!
Eritrea- dah videmu bana
Botswana
Equqatorial guinea duuu!
Yemen- sababu ya vita
Hiyo St Helen umepatia mnoooo
 
Habari wakuu
Mada hapo juu yahusika..Binafsi ukiacha Tanzania nchi zifuatazo napenda kuishi mazima
1.Canada,
Naipenda tuu kwa kuwa huwa sisikii matukio yoyote ya ubaguzi kuuana vurugu za kisiasa nk.Kiufupi napenda sana Canada hata uchumi uko stable
2.Australia
Hii nayo ina sifa kama za Canada lakini ina resources nyingi sana kuliko idadi ya watu na sijawahi sikia majanga yakiwemo Matetemeko
3.Malaysia
Hii naipenda tuu
4.Sweden
Hii ni nchi tulivu nzuri na tajiri,nikiishi huko na mimi ntakuwa tajiri
5.Ethiopia
Licha ya vurumai za ugumu wa maisha nchini Ethiopia naipenda kwa vile ina mademu wakali
6.Cape Verde
Hii nayo naipenda sababu ya watoto wakali yaani wale mulatoes au shombeshombe
Na wewe tupia nchi unazozipenda kuishi nje ya Tzn na sababu za kuzichagua.

TANZANIA NA SINA MBADALA WA NCHI MIMI. I love my country kindakindaki
 
Back
Top Bottom