Masangutu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 814
- 653
Lushoto Tanga,Nature tu inakufanya unaisaliti nchi yako mkuu?mbona sababu zenu naona nyepesi sana?😅..kwan hapa Tz hakuna mikoa yeny nature?Lushoto?Arusha je?Iringa je?..Mbeya na Bukoba?
😅😅😅!
hata rais wetu Wa awamu ya tatu ndiko anakoishi"so natural "