Ni nchi zipi ungependa uishi tofauti na Tanzania?

Ni nchi zipi ungependa uishi tofauti na Tanzania?

Kwa kuishi Ningependa hizi sehemu.

1. Peru- Machupicchu. ( Pure nature and tranquility).

2. Brazil- Pantanal ( Pure nature and culture).

3. Tibet ( Culture and nature)

4. Mongolia ( Culture and nature).

5. Bahamas ( Bata)

6. Islamabad, Peshawar , Riyadh , Abu Dhabi, Bahrain and Doha ( Culture and espionage).
Mkuu umenikumbusha nchi hii ya Mongolia, [emoji23] [emoji23]. Imebidi nikaigugo
 
 
Congo kinshasa is my favorite[emoji41][emoji41][emoji41] motema nangai , papa mukulukumbe"""
 
Back
Top Bottom