Ni nchi zipi ungependa uishi tofauti na Tanzania?

Ni nchi zipi ungependa uishi tofauti na Tanzania?

Nashukuru Mungu sikuacha.Ukicheza vibaya umekwisha.Hawana masihara,aina Fulani ya ubaguzi.Tena wewe na avator yako sura kama tumbili,vinena vya kike utavisikia kwenye bomba.

Sawa mkuu?
Naenda na mpunga mwingi vinena nitavipiga mpaka basi😂,niliona kwenye kipindi fulani kuna mademu wanakodisha matumbo yao,yaani kwa US$ 5000/= anakubebea mimba bila wasiwasi
Nalog off
 
Kwanini hapafai Bosi?
Afadhali Mimi nilirudi na albamu na picha za mademu wao.Amini wewe ukienda unaweza kurudi na chupi mkononi.

Kaubaguzi ka aina fulani ka nguvu,utaanzia wapi umiliki biashara,assets,mademu wakali?

Wanaoinanga nchi yetu Tz, wengi wao hawana expore.Akienda Dar,Arusha na Mwanza ndio katembea kishenzi.

Pumbavuu sana wale wanangaji wa nchi yetu.

Kule ni shida kinoma,umaskini bado upo sababu ya population.


Mkuu upo?
 
Australia nchi moja matata sana. Ila sasa hawa ndugu zetu toka Uarabuni ndo wanatishia amani kule. Ila ukiingia vijijini kweli maisha ni matamu balaa. Hutaki kusikia Bongo land. Ila hiki kiangazi cha huku nacho ni balaa. Mimoto kila kukicha
Ukitaja Australia nawakumbuka taipan
 
Mkuu kumbe na wewe una maneno hivi 😀😀😀😀😀😀
Nimeshachoka kutumia miguvu kila saa tindo na nyundo nataka nianze kutumia akili,lakini bado sijajua ni course gani itanitoa,naomba msaada wa mawazo kiongozi.
Nalog off
 
Back
Top Bottom