ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Zambia kuna pombe tu kule labda kama unapenda pombe sanaKwa kuongezea na Zambia kwa kweli nilipaswa kabisa kuishi zambia kama nisingejisahau
Kwa nnMi napenda Ghana na Liberia kwa nje labda Germany
Kwa nini mkuuKwa kuongezea na Zambia kwa kweli nilipaswa kabisa kuishi zambia kama nisingejisahau
Mkuu mara moja moja nitakuwa nazitembelea hasa hizo za mademuEndeleeni kuzipenda na kuziona kwenye ramani hivyo hivyo ........ukianza safar ya kuzitembelea unitag
Mkuu australia mafuriko kila kukicha ila ni kuzuri wale jamaa wana maisha kama waingereza na qeen nazani anatawala hadi kule mi nchi nnayoipenda ni JAPAN vijijini kwa sababu ya NATURE wametunza sana mazingiraHabari wakuu
Mada hapo juu yahusika..Binafsi ukiacha Tanzania nchi zifuatazo napenda kuishi mazima
1.Canada,
Naipenda tuu kwa kuwa huwa sisikii matukio yoyote ya ubaguzi kuuana vurugu za kisiasa nk.Kiufupi napenda sana Canada hata uchumi uko stable
2.Australia
Hii nayo ina sifa kama za Canada lakini ina resources nyingi sana kuliko idadi ya watu na sijawahi sikia majanga yakiwemo Matetemeko
3.Malaysia
Hii naipenda tuu
4.Sweden
Hii ni nchi tulivu nzuri na tajiri,nikiishi huko na mimi ntakuwa tajiri
5.Ethiopia
Licha ya vurumai za ugumu wa maisha nchini Ethiopia naipenda kwa vile ina mademu wakali
6.Cape Verde
Hii nayo naipenda sababu ya watoto wakali yaani wale mulatoes au shombeshombe
Na wewe tupia nchi unazozipenda kuishi nje ya Tzn na sababu za kuzichagua.
Mkuu australia mafuriko kila kukicha ila ni kuzuri wale jamaa wana maisha kama waingereza na qeen nazani anatawala hadi kule mi nchi nnayoipenda ni JAPAN vijijini kwa sababu ya NATURE wametunza sana mazingira
Liberia unapajua kaka...!!?Mi napenda Ghana na Liberia kwa nje labda Germany
Kuzidi kitulo plateau za Njombe mkuu ππAlaska aiseee pa ukwel sanaaa... sema barid tu lakn pazur sana
Hongera ila wewe unapenda wapi out of Tzn?Karibuni Cologne German, Australia nimefika mwaka Jana jijini Melbourne
Nchi nyingine Ni France, Spain, Austria, Belgium, Netherlands,Sweden