Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike

Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike

Often.. herufi T inanitafuta ugomvi hapo

Toothpaste... wanakwambia unapotamka hili neno hiyo T ya mwisho uimeze.. wapi? Tuuthpas
 
Na kuna kingereza cha waingereza, wale jamaa sijui wanaongeaje aisee.

Labda movie za kimarekani zimeniharibu ila kina Ed sheeran na Adele huwa nadonoa maneno yao kwenye interview zao.

Ila wale walioishi sana au kufanya sana kazi marekani kinge chao kinaeleweka.

Hapa bongo imezoeleka kua tunajifunza Britain English ila mbona wale jamaa wanaongea tofauti kabisa, wazee "water" wanasema "woaa"
 
Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike

Mimi naanza na neno ''Psychology'' pana haja gani ya kuwa na P mwanzoni ili hali siitumii kabisa?

Teremka hapo chini kwa meneno mengine unayoyajua
Wenyewe wanasena p is silence
 
Back
Top Bottom