ππππππ
Kuna nyingine alitoa majuzikati siasani huko alishusha madini sio poa
Huyo ndo alikuwa Smart naemfahamu sio huyu aliechakachuliwa hadi kaishiwa maneno π€ππ!
PsychopathTeremka hapo chini kwa meneno mengine unayoyajua
Ile kwao ni lugha ya kilugha km kilivyo Kijaluo na wamekizomea ni sawa na bongo kiswahili kimezomewa kina kiswahili pure na kiswahili cha mtaa sasa ndio hio unayosema wewe water wooaa na wabongo wakachukua we one wakaiita wiiwa yaan we wani yaan sisi ni wamoja.. welcome to UKHapa bongo imezoeleka kua tunajifunza Britain English ila mbona wale jamaa wanaongea tofauti kabisa, wazee "water" wanasema "woaa"
Ki Japani hiki, sio kiingerezaNeno mitsubish, linavyo tamkwa na mpangilio wa herufi ni tofauti.
Kuna wajinga tu walitaka hapa duniani kuwe kugumuK inafanya nini kwenye Knife na Know?