Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Hahahahaahahahah biology bhana...muda mwingine unatamka kama lilivoandikwa maana ni majangaMimi nakumbuka niliwahi kukosesha team yangu points kwenye General Knowledge Quiz kwa kushindwa ku spell "lumbricus terrestris" [emoji23]
Hahahahaahahahah biology bhana...muda mwingine unatamka kama lilivoandikwa maana ni majanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha mbali kuna watu walikuwa wanachanganya population na copulation
Hili neno mm nilikua nalisoma kiswahili haswaa [emoji23][emoji23]Hehehehe ni kama mimi tu