Ni Neno Gani la Kiingereza lilikupa Tabu kutamka ukiwa Form one

Ni Neno Gani la Kiingereza lilikupa Tabu kutamka ukiwa Form one

Characteristics
Kwenye Bible knowledge Kuna hii Exodus[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulikua mtihani Sana kwangu
Nlitamani niache shule na vile lugha haipandi sielew chochote..jmn maisha haya tunatoka mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Executive, ticha ndiye alituingiza chaka.

Tukiwa Form 2 tukapata ticha mwingine ndo kuturekebisha.

Lingine ni "interest".
 
Back
Top Bottom