Papaa Azonto
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 319
- 277
Tunaambiwa mengi na tuwapendao ila lipo neno moja ambalo limewahi kugusa moyo kiasi kwamba si rahisi kusahau!
TIRIRIKENI
Nategemea kuoa mwezi wa 6 vip utanichangia mchango? Mapenzi yetu yataendelea...?? Baadae akasema NAKUTANIA... Ameniacha na mawazo mpaka sasa nahis naibiwa kama kuna mwanamke wa maisha yake na sio mimi!!
Ushawahi kupondwa moyo? Lol...
sasa nani kabaki!!!!!
"Nakupenda lkn siwezi fanya mapenzi nawe.... kwani nimeathirika" alifunguka mdada mmoja baada ya kuonyesha kuwa niko serious juu yake...
yes..i do remember hny
mimi sijapendwa،mpaka،sasa!
Cc.. Heaven on Earth, DEMBA, shansarie,
Madame B, Evelyn Salt، mwallu، Chocs،
jamani naombeni mnitafutie mke humu!
Am in love with two boy, You and some ealse! Nilikuwa nafanya kaz, nilijikuta nazima simu kwanza, nikafanya kaz zangu zen nikarud kusoma huo Ujumbe, mapenz ni shida!
Sina hela.......I fainted........
hahahaaha hoe unachekesha sana.