Papaa Azonto
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 319
- 277
Tunaambiwa mengi na tuwapendao ila lipo neno moja ambalo limewahi kugusa moyo kiasi kwamba si rahisi kusahau!
TIRIRIKENI
Am in love with two boys, You and someone ealse! Nilikuwa nafanya kaz, nilijikuta nazima simu kwanza, nikafanya kaz zangu zen nikarud kusoma huo Ujumbe, mapenz ni shida!