Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Tunaambiwa mengi na tuwapendao ila lipo neno moja ambalo limewahi kugusa moyo kiasi kwamba si rahisi kusahau!
TIRIRIKENI

Am in love with two boys, You and someone ealse! Nilikuwa nafanya kaz, nilijikuta nazima simu kwanza, nikafanya kaz zangu zen nikarud kusoma huo Ujumbe, mapenz ni shida!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
wapenzi wenyewe hawa siku hizi hata wakisema i will die for u hakuna kitu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Huyo Yesu mwenyewe katika harakati za kutufia aliomba kikombe kimuepuke, sembuse binadam mwenzangu adai atakufa kwa ajili yangu, upuuzi mtupu...
 
Nategemea kuoa mwezi wa 6 vip utanichangia mchango? Mapenzi yetu yataendelea...?? Baadae akasema NAKUTANIA... Ameniacha na mawazo mpaka sasa nahis naibiwa kama kuna mwanamke wa maisha yake na sio mimi!!

hapo inabidi ukae mguu pande
 
  • Thanks
Reactions: SDG
"Nakupenda lkn siwezi fanya mapenzi nawe.... kwani nimeathirika" alifunguka mdada mmoja baada ya kuonyesha kuwa niko serious juu yake...

yaani watu wote wangekuwa na moyo wa huruma kama huyo dada
hakika dunia ingekuwa sehemu salama
 
Am in love with two boy, You and some ealse! Nilikuwa nafanya kaz, nilijikuta nazima simu kwanza, nikafanya kaz zangu zen nikarud kusoma huo Ujumbe, mapenz ni shida!

kwa hyo ikawaje,au hiyo episode iliishia hapo?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Yule m/ume alikuwa na dude kubwa hadi ananiumiza..
Na mm nikamwambia niliyeachana nae yake ilikuwa inabana mpk nikawa naPiz hovyo kila saa.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nilifurahi
 

Attachments

  • 1392482521491.jpg
    1392482521491.jpg
    20.6 KB · Views: 619
  • Thanks
Reactions: SDG
Kama unanipenda ninunulie Vogue na nyumba Masaki honey. Hutaki nakuacha.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom