Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Wakiitwa wanaume na wewe utaenda? Sikuweza kujibu. Nilipata ganzi hivi.
 
Reactions: SDG
"Hivi huoni wanaume wengine huko....au Mwanaume ni mimi peke yangu"

Siku niliyomuacha ndio alishangaa kujua ka mwanaume ni yeye tu ama kuna wengine

Inabid kuwa makin na kauli zetu! Unaweza muona mwanamke ni mpuuzi kwa sababu ya upendo wake kwako...akija kuamua yake utajuta
 

Akawa anasoma na gazeti huku una do.......hahaaaaa iyo n Kali kuliko zote
 
Reactions: SDG
Thanks for ur compan to take care of me..then do ikawa tumeachana...its more than pain
 
Unajarb kukimbiza upepo niache huru na ufanye yako.. Daah niliona kama kuanguk hv
 
Reactions: SDG
Kuna siku nilienda kumtembelea gal wangu...nikamkuta na rafk zake mara rafk yake mmoja akasema "kashafika bwana wako wa bei rahisi" afu gal wangu akacheka iliniuma sana

Ingekuwa mimi yani huyo pambaff angekula vibao sawasawa
 
Tunaambiwa mengi na tuwapendao ila lipo neno moja ambalo limewahi kugusa moyo kiasi kwamba si rahisi kusahau!
TIRIRIKENI
Asilimia kubwa ya watu waliocomment ni maneno yenye kuumiza, ni muhimu sana kuwa na maneno ya kujenga kuliko kubomoa, mtu anaweza sahau matendo ila maneno yakuumiza ni kama echo "mwangi" kila ukikumbuka unaisikia ile sauti nyuma. Unaweza achia neno bila kufikiri ila kulifuta kwenye akili ya yule uliyemwambia si kitu kirahisi.

Kama mwenzako ana tabia au kitu kinachorekebishika basi muelekeze kwa hekima kama ni tumbo au uzito haupendi kuna njia ya kumwambia bila kumuumiza hata kumlipia tu gym membership hiyo msg itakuwa delivered clear bila kuumizana. Kama ni kitu kisichorekebishika basi kivumilie kama hauwezi kuvumilia ondoka kimya, maana hata ukisema hakirekebishiki unaishia kumuumiza mtu.

Kuna nguvu kubwa sana katika maneno hata ukifa leo maneno yako yanaendelea kuishi kwa wale unaowaambia, jipange kuacha maneno ya kujenga na sio kubomoa. Maneno yako yana umri mrefu kuliko wewe.
 
"Nilipanga kukufanyia kitu ambacho usingesahau hadi unakwenda kaburini"
Hakujua uzito wa kauli yake, na matunda ya kauli yake hadi Leo anajutia.
 
Reactions: SDG
dah mi nliambiwa simridhishi kitandani dah iliniuma sana
 
Reactions: SDG
You are not the only fish in the lake!!!!
 
Cna uwezo wa kukusalit bamed ni malaya baada ya mda nkagundua kampa mimba bamed
 
Wewe ni mmbaya, mburura huna shepu ninayoitaka, upo km ubao, hutaweza kuzaa, so nimempata kwenye nyonga na ambae mwili wake umegawanyika.
 
Reactions: SDG
Niliambiwa "ukithubutu kuitoa mimba yangu nitakuua kwa mikono yangu mwenyewe".... Too bad our baby died
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…