Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Hivi huoni wanaume wengine huko....au Mwanaume ni mimi peke yangu"
Siku niliyomuacha ndio alishangaa kujua ka mwanaume ni yeye tu ama kuna wengine
Sitasahau nilikutana na mdada wa haja mwanza,kaumbwa kaumbika, nikapiga story mambo yakawa mambo Kule mza hatukudu tukapanga aje dar, mwanaume nikamkatia tiketi ya ndege kwenda na kurudi, siku ya siku katia timu dar nikampokea kwa mbwembwe na wapambe kibao,hotel ya hadhi tukaingia,baada ya mambo ya hapa na pale ikafika muda muafaka, dah!eti naambiwa fanya haraka nilale katulia tuli kama gogo nilishindwa kuendelea nikabaki kujutia gharama zangu.
Kuna siku nilienda kumtembelea gal wangu...nikamkuta na rafk zake mara rafk yake mmoja akasema "kashafika bwana wako wa bei rahisi" afu gal wangu akacheka iliniuma sana
Nimekua na wapenzi wengi,
Hata sijui nimkumbuke yupi!?
Asilimia kubwa ya watu waliocomment ni maneno yenye kuumiza, ni muhimu sana kuwa na maneno ya kujenga kuliko kubomoa, mtu anaweza sahau matendo ila maneno yakuumiza ni kama echo "mwangi" kila ukikumbuka unaisikia ile sauti nyuma. Unaweza achia neno bila kufikiri ila kulifuta kwenye akili ya yule uliyemwambia si kitu kirahisi.Tunaambiwa mengi na tuwapendao ila lipo neno moja ambalo limewahi kugusa moyo kiasi kwamba si rahisi kusahau!
TIRIRIKENI
Makes no sense man! Wasnt there some logic in her brain??
No offence intended....
Inabid kuwa makin na kauli zetu! Unaweza muona mwanamke ni mpuuzi kwa sababu ya upendo wake kwako...akija kuamua yake utajuta