Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

1.Sitakuacha love,labda uniache wewe (nikimkumbuka hadi chozi linanshuka)
2.I love looking at u all the time,i have finally met my baby's mama'...(biggest liar of all times)

Lol !Pole sana utapata chaguo lako.
 
Eli79 Three things in human life are important the first is to be kind the second is to be kind and the third is to be kind.

Depends on the angle of 'reference'...
 
Last edited by a moderator:
Mada nzuri sana, nmezisoma comments zote!

Mmmh bnafsi hata sijui niandike lipi maana nmepitia mengi lakini si makubwa,nakumbuka gers wangu km watatu hivi walkuwa wanapenda sna kunambia S seriuz hutapata mwanamke anayekupenda na kukucare km mie!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Yaaani yule binti alivyokuwa anaongea kama chiriku hata sikumbuki kwa kweli maana aliongea mengi ya kuniumiza na na mengine kufurahisha. Nitarudi nikikumbuka

hahahahahahahahahaahahah
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mada nzuri sana, nmezisoma comments zote!

Mmmh bnafsi hata sijui niandike lipi maana nmepitia mengi lakini si makubwa,nakumbuka gers wangu km watatu hivi walkuwa wanapenda sna kunambia S seriuz hutapata mwanamke anayekupenda na kukucare km mie!

Hahahaaaa muda mwingine ni bora mtu akupe makavu tu sio kukufisiasifia 😡😡😡
 
Dah! Huyu nyege zake zinapanda anapojua kuna ngawira, vinginevyo hasikii genye kabisa lol!

honey, ukiishiwa hela au ukapoteza kibarua, itabidi unisamehe tu, kwani huwa sipati nyege nikiwa na mwanaume ambaye hana kitu.
 
Hii mada ni tamuuuu,hurudisha hisia nyuma.
Kwa Mimi niliepitia mahusiano lukukiiiii sijui hata niseme la yupi.
Hichi nacho kipaji kuachana kila mwaka eti tumeshindwana lol.
Ngoja nizidi kumsubiri Mr perfect mie, nacheka km mazuri vile.
Yule tuliachana eti oohh ana michepuko mingi.
Huyu nae bahili sana.
Mwingine siwezi msamehe amenikosea sana,mmmhh Mimi Sina makosa hapo Mrs clean,
Mwingine hayuko romantic jamanii Kama nimejiroga vile.
 
Shkamoo mapenzi....!!
 
Mie wangu aliniambia ati nikilewa nakuaga na akili sana, kuanzi siku hiyo ni mwendo wa BAPA na MAJIBAPA.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom